Mkuu,wewe hujui punda nyama yake inaliwa? tena inaliwa ndanindani, watu wamekula mishikaki ya mbwa bila kujua, punda nae ana mishikaki!!
Nimesoma kwenye magazeti na JamiiForums kuhusu kusimamishwa kazi kwa Maafisa wa NEMC kuwa walitumia madaraka yao vibaya kwa kukifungia kiwanda hicho kwa sababu walikuwa na vibali vyote vya kuendesha kiwanda hicho. Napenda kuelemiswa yafuatayo:-
Mimi binafsi siafiki Wachina kufungua kiwanda cha nyama ya punda nchini kwanza punda ni msaada mkubwa kwa maeneo vijijini na ninaomba sana kwa Serikali ya JPM kukifunga na kufuta kiwanda hicho kabisa.
- Hivi kweli Tanzania tumefikia hatua ya kufungua kiwanda cha nyama ya punda?.
- Punda kama mnyama ni msaada mkubwa kwa jamii waishio vijijini, Je kuwa na kiwanda cha nyama ya punda haitapunguza idadi ya punda vijijini na kukinzana na dhana ya punda kuwa msaada mkubwa kule vijijini?.
Kama kilifungwa na kama wamekifungua tena serikali ifuatilie nani amewarudishia kibali tenaHv hawa WACHINA si walikamatwa na NEMC tena ilitangazwa kabisa na kiwanda kufungwa cha punda..!! IWEJE HADI LEO BADO WANAENDELEA..? Hv hii nchi kuna nn..? Wachina hawa wataimaliza nchi hii.. Leo nimeona ITV news, PUNDA wengi ktk malori eti wanapelekwa DODOMA..!!
Hawa wachina kwnn serikali inawaacha wanafanya laana hii kubwa ktk nchi yetu..? Wachina ni watu wabaya sana... Wale tu wanaofanya kazi za ujenzi ndio waruhusiwe kuwa nchini... Mtaani na kwingineko hawatakiwi hawa...
Hili linamhusu January Makamba, naona yuko kimya anapotezea kazi yake kama hayupo.Hv hawa WACHINA si walikamatwa na NEMC tena ilitangazwa kabisa na kiwanda kufungwa cha punda..!! IWEJE HADI LEO BADO WANAENDELEA..? Hv hii nchi kuna nn..? Wachina hawa wataimaliza nchi hii.. Leo nimeona ITV news, PUNDA wengi ktk malori eti wanapelekwa DODOMA..!!
Hawa wachina kwnn serikali inawaacha wanafanya laana hii kubwa ktk nchi yetu..? Wachina ni watu wabaya sana... Wale tu wanaofanya kazi za ujenzi ndio waruhusiwe kuwa nchini... Mtaani na kwingineko hawatakiwi hawa...