Kiwanda cha nguo Urafiki kimekufa?

Mpaka sasa awamu hii imeshajenga zaidi ya viwanda elf tano....kwaiyo hicho kikifa amna shida tushajenga vingi....na vimetoa ajira kwa watanzania wa kutosha...

kwa sasa Tatizo la ajira limepungua vya kutosha....Uchumi umeongezeka mfumko wa bei umeshuka...wananchi wanafurahia maisha....Tuendelee kumuunga mkono mheshimiwa ndugu zangu.
 
Viwanda kibao vimekufa ndani ya miaka hii mitatu...mpaka 2025 tutakua na viwanda vya beer, sigara na kampuni za kubeti tu maana Sera na sheria za nchi yetu zinalenga kukomoa wafanyabiashara na sio kuwawezesha....

Wale kula kulala nyumbani wasiojua hata bei ya nyanya sokoni inauzwaje ndio wanaoshangilia utendaji wa sasa
 
Kinachoshangaza Je watu wanaovaa hizo kanga hawapo? (Soko) je malighafi haipo ? (Pamba). Je watu wa kufanya kazi hawapo? Kama vyote hivi vipo ni wapi sisi kama Watanzania Tunashindwa?
Je kuna watu wanatuhujumu kwa maslahi yao wenyewe?

Kwanini iwe sisi tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…