Nimestuka Jana nimefika kutembelea jamaa nyumba za urafiki pale Ubungo, nikashangaa kusikia toka mwezi wa 12 wafanyakazi walipumzishwa likizo, hii Leo tunaenda June bado hakuna dalili za kuitwa kazini, mini kinaendelea?
Kiwanda hiki kilipewa mwekezaji wa kichina miaka kadhaa iliyopita. Nakumbuka enzi za baba wa taiga palikua na shift tatu, jumla ya wafanyakazi 7000, uzalishaji ilikua 24hrs, walizalisha mpaka wafanyakazi wakagawana bonasi.
Walikua na Maduka makubwa kiwandani na mjini, usafiri wao binafsi wa mabasi, Fire, hospital, shule, ukumbi, vikundi vya burudani, ngoma, Band ya dansi, timu za mpira wa miguu netball na hata timu ya ndondi, vyote vilikwenda na walipata posho zao walilipwa likizo na bado kiwanda kikasafirisha nje-export-na kujipatia faida kubwa na bonasi juu.
Tunaomba Serikali ifuatilie kwa karibu kiwanda hiki mama cha nguo nchini.