Kiwanda cha magondoro (Comfy) chaungua

Jamaa amesema amepata hasara zaidi ya USD mil 100,mashine zimeungua,materials,finished products etc ila jamaa hana wasiwasi kabisa maybe kuna mchezo mchafu hapa kama wa paradise hotel bagamoyo
 
Bila shaka wamezidiwa na mzigo wa kodi kama si kuelemewa na ukata kiwandani na hivyo wanatafuta fidia kutoka Tanesco. Ni suala la kuongea na fundi umeme tu agonganishe nyaya, hala3u tanesco walipe, kama policz zinaruhusu.
 
Back
Top Bottom