kiwanda cha General Tyre kufunguliwa mda wowote kuanzia ivi sasa.Leo wajerumani wamekabizi shares 26% kwa serikali ivyo 100% GT iko kwa serikaliAmbapo barozi Ombeni Sefue alishuhudia ilo tukio leo.Katibu wa wizara ya viwanda na biashara anasema mda wowote wanaweza fanya trial run wanamalizia kurekebisha mifumo ya umeme malighafi zipo za kutosha
Source:Channel Ten habari leo
Am sure the comment came after having fully understood what i meant
Apo vip
Lakini si umeelewa au
Can you substatiate uvivu na uzembe how?Ni kweli kabisa, nimeelewa ulichoandika. Lakini kama kuandika ingekuwa ni vurugu mechi namna hii kungekuwa na haja gani basi ya kijifunza kuandika? Watanzania tusikubali uzembe na uvivu viwe sehemu ya utamaduni wetu!
Can you substatiate uvivu na uzembe how?
I assume you are trying to deviate us from the focus