Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo. Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitanga vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre. Sasa naona serikali ya ccm imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka. Bravoo Lowasa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo. Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre. Sasa naona serikali ya ccm imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka. Bravoo Lowasa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi
Huyo Lowasa ana ilani yake ya uchaguzi mfukoni or? Maana anayoyasema hatujui huwa ni ilani ya chama gani ndani ya ukawa. Au kuna ilani ya ukawa nini?
Huyo Lowasa ana ilani yake ya uchaguzi mfukoni or? Maana anayoyasema hatujui huwa ni ilani ya chama gani ndani ya ukawa. Au kuna ilani ya ukawa nini?
Acheni usanii nyie #Teamdodoki .
lowassa alishutumiwa kuhusika na kufa kwa kiwanda hiki.lema aliitumia gia ya kukirudisha kiwanda hiki kwa serikali wakati anagombea mwaka 2010.
Juzi lowassa alisema ataliongekea suala hiki la General tyre kampeni zikianaza.niliweka thread kuhusu kauli hii lakini mods waliiemerge!
Mmiliki aliyekiua ni El according to Lema.
#hapakazitu
soma comments zangu kwenye thread hii hapa....
https://www.jamiiforums.com/uchaguz...is-kwa-tiketi-ya-chadema-67.html#post13646662
Moderator msiwe mnaunganisha threads bila taarifa!