IHivi Tukifufua kile kiwanda cha Matairi Arusha ambapo miundo mbinu ipo kwa pengine 50% na tukasema tairi zote za magari ya kawaida ya Serikali Mikoa yote wachukue pale na majeshi yetu pia wachukue pale.nk
bila kusahau soko la kawaida la secta binafsi; Hivi si tutakuwa tume serve mabilioni ya pesa kwa mwaka ikiwa ni pamoja kuleta ajira ambazo pia zinakatwa kodi?
Nawaza tu!
Na ndio sababu nimesema miundo mbinu ipo kwa takriban 50% nikimaanisha hiyo 50% iliyobaki inahusisha kuleta technologia mpya to enhance safety, performance, and sustainability tofauti na tire za enzi zileTechnology ya miaka 50 nyuma Leo itafanya kazi kweli?
Hilo jambo ni gumu dawa ni to privatize kwa masharti ya kizalishe matairi na sio serikali kukiendesha
PointSerikali haiwezi kufanya biashara
Kwasababu kuna upigaji mwingi.
Pili mazingira ya kuendesha taasisi au shirika lolote chini ya serikali ni kama vile wanavyoendesha hospitali inafika muda ni kama huduma wanatoa na kuna usemi wao serikali haipati hasara, kwasababu wanajua watazichota kwenye kodi zenu.
Angalia Ttcl,tanesco, idara za maji,
Makampuni binafsi yangekua yanaendeshwa kwa mfumo unaotumika bongo yangekua yanakaa sokoni miezi 6 na kufungasha virago.