Kiwanda cha dawa cha Reginald Mengi, ni siasa au biashara?

Kiwanda cha dawa cha Reginald Mengi, ni siasa au biashara?

Huyu mzee ni mfanya biashara makini sana, kufanya biashara afrika lazima uzingatie mambo mengi sana katika mambo hayo uangalie na Sera za serikali iliyopo madarakani. Pamoja na yote natanguliza shukrani kwakua kiwanda hicho kitasaidia kwa kiasi flani kupunguza uhaba na pengine bei kubwa ya madawa nchini.
 
Sasa unafikiri anayekifungua Kiwanda yupo tayari kupoteza bilioni 53 kwa ajili ya kupata sifa kisiasa??

Sidhani kama Mzee mengi atahitaji kufanya hivyo ukizingatia historia ndefu aliyonayotayari hapa Nchini..

Vile vile alichokifanya ndicho hasa kinahitajika kufanywa na kila Raia Mzalendo..
 
Sasa unafikiri anayekifungua Kiwanda yupo tayari kupoteza bilioni 53 kwa ajili ya kupata sifa kisiasa??

Sidhani kama Mzee mengi atahitaji kufanya hivyo ukizingatia historia ndefu aliyonayotayari hapa Nchini..

Vile vile alichokifanya ndicho hasa kinahitajika kufanywa na kila Raia Mzalendo..
Inawezekana kafanya hivyo ili kulinda maslahi yake mapana zaidi.Inajulikana huyu Mzee ni mmoja ya wafanyabiashara ambao hawakupenda huyu jamaa akamate hicho kiti,na sasa anafanya hivyo ili aonekane amejirudi asije kutwa na balaa kuu zaidi.
 
Angalau sasa mzee Mengi anasifiwa kama mzalendo licha ya kuwa na "vinasaba" visivyopendwa na mashabiki wa enzi hizi. Nikijumlisha na ya Mtei wa CRDB, napata matumaini ya kuanza kupotea kwa siasa uchwara za kibaguzi na kurejea kwa hisia za umoja wa kitaifa. So far so good.
 
Jambo zuri kama hili unalitolea maelezo ya kinafiki nafiki hivi
Mtu kaitikia wito wa baba bado unamtilia mashaka
Tatizo lako nini ?
Ulipaswa kumpongeza sio kejeli
mkuu huyu mhaya anadhan watu wote n wavivu kama wao,hawajui kuwa mangi wanapenda kaz na elimu
 
Serikali inapoagiza dawa nje ya nchi inatumia pesa nyingi ,pia kuna mlolongo mrefu,kuwepo kwa kiwanda cha dawa hapa nchini kutapunguza gharama za kuagiza dawa,pia kitaongeza ajira na mzunguko wa pesa nchini.
Hili ni jambo jema kwa uchumi wa nchi ,na ni mafanikio kwa wawekezaji wazawa.

Suala la siasa au rais ajaye aagize dawa nje wakati kiwanda cha ndani kitajitosheleza ni uwendawazimu,labda tu kwa zile dawa ambazo hatutakua na uwezo wa kuzitengeneza na ni muhimu kwa watu wetu
panadol zinazouzika kwa sana ni za kenya.....tafakari...
 
Natumai deal za mzee wetu zote zitaendelea.Magari,simu,gesi n.k. Rest in Uhuru.
 
Back
Top Bottom