Kiwanda cha dawa cha Reginald Mengi, ni siasa au biashara?

Congrats Mengi. Hata drip tuagize nje ya nchi kweli?
 
Wewe ndio umekua Jaq unajua kua billion 53 ni pesa ndogo tu kwake?basi tuambie ana bei gani kwa ujumla.

Yaani ulivyo define risk taking unaifanya uwainyeshe kua wafanyabiashara wanaingia kichwa kichwa tu.no businessman takes risk, they avoid risks to make profit.
Duuuh...!!! Ngoja nisijibu chochote mkuu..!!!
 
Wewe ndio umekua Jaq unajua kua billion 53 ni pesa ndogo tu kwake?basi tuambie ana bei gani kwa ujumla.

Yaani ulivyo define risk taking unaifanya uwainyeshe kua wafanyabiashara wanaingia kichwa kichwa tu.no businessman takes risk, they avoid risks to make profit.
Unafikiri wewe unajua biashara kuliko Mzee Mengi au washauri wake?
Unafikiri Mzee hajui siasa za bongo?
Ukiona mtu amekuwa ktk biashara kwa zaidi miaka 30 hapa bongo na kufikia kiwango kile cha Mzee Mengi ujue anajua kusoma michezo ya kisiasa ya kila awamu.

Acheni mihemko ya kisiasa na kuwatia hofu wanaotumia fursa badala ya kukesha kulalamika na kupinga.
 
Iwe kwa sababu yotote iwayo cha msingi tupate dawa. Period. Na kwa uzoefu wa biashara alionao na mtandao wake wa biashara Mzee Mengi atafanikiwa
 
Nimeona kwenye habari ITV leo kua Mzee wetu pamoja na mbia mmoja toka India wanapanga kujenga kiwanda Bagamoyo cha kutengeneza dawa,M Pharmaceuticals Ltd,wataanza na maji ya drip,watawekeza jumla ya Billion 53/=.

Hii inatokana na rai aliyopewa Mengi na Mh Rais wakati wa uzinduzi wa Hospitali ya Mloganzila na yapata miezi 6 tu tangu rai hiyo itolewe tayari wameshafanya uamuzi.Uamuzi huu umezingatia kweli vigezo vya kiuchumi au ni kwa sababu tu Rais kasema?

Ifahamike Mengi ni mtu wa biashara kwa muda mrefu na amekua akiwekeza katika sekta mbalimbali,ni kwamba kipindi chote hiko hakuona fursa katika viwanda vya dawa?

Hizo sababu alizoziona sasahivi kwa huko nyuma hazikuwepo?
Unaweza ukasema kapewa moyo na sera za Rais, ila kiwanda chake hiki kitadumu miaka na miaka mpaka atavyoingia rais mwingine na je akija na sera nyingine itakuaje? Maana kwenye dokezo la Waziri wa Afya Ummy Mwalimu nimeona kama kutakua na upendeleo fulani kwa kiwanda hiki.

Isije tu ikawa kama yale mambo ya ujenzi wa CRDB ya ghorofa moja Chato tu au ndio namna ya Mzee kujikomba kwa Rais ili asipate dhahma?
Amehakikishiwa kuwa Serikali watanunua product yake
 
Awali watumishi wa umma walikaa kidili dili tu, walikuwa radhi waagize kitu nje hata kama ni ghali ilimradi wapate chao, kwa sasa upepo umebadilika, hadi uongozi huu upite kiwanda hiki kitakuwa kimeshajiimarisha hata kwa masoko ya nje, utamu wa kodi kwa serikali na ajira kwa watu wetu zitakuwa ni macho ya kwanini kiwanda kife au kifungwe.
 
Unafikiri wewe unajua biashara kuliko Mzee Mengi au washauri wake?
Unafikiri Mzee hajui siasa za bongo?
Ukiona mtu amekuwa ktk biashara kwa zaidi miaka 30 hapa bongo na kufikia kiwango kile cha Mzee Mengi ujue anajua kusoma michezo ya kisiasa ya kila awamu.

Acheni mihemko ya kisiasa na kuwatia hofu wanaotumia fursa badala ya kukesha kulalamika na kupinga.
Mkuu,Mzee Mengi ni Mungu wa biashara za bongo sio?
 
muache mchaga ajenge kiwwnda nyie wahaya umaskin wenu mnabk mkitokwa povu tu
na nyie jengen yaan mhaya bhana
 
Hakikuwa chake.. bali cha mdogo wake Benjamin Mengi
OK Sawa, ila nasikia hata mzee mengi alikuwa na mkono wake hadi akawashauri NICO wapeleke mtaji kule, baadae kiwanda kikafa, kuna kufafanua hili suala mwaka fulani kwenye TV, ila nimemsahau ni nani. Unajua mambo ya dawa yanahitaji utulivu sana na pia yana gharama kubwa.
 
Nimeona kwenye habari ITV leo kua Mzee wetu pamoja na mbia mmoja toka India wanapanga kujenga kiwanda Bagamoyo cha kutengeneza dawa,M Pharmaceuticals Ltd,wataanza na maji ya drip,watawekeza jumla ya Billion 53/=.

Hii inatokana na rai aliyopewa Mengi na Mh Rais wakati wa uzinduzi wa Hospitali ya Mloganzila na yapata miezi 6 tu tangu rai hiyo itolewe tayari wameshafanya uamuzi.Uamuzi huu umezingatia kweli vigezo vya kiuchumi au ni kwa sababu tu Rais kasema?

Ifahamike Mengi ni mtu wa biashara kwa muda mrefu na amekua akiwekeza katika sekta mbalimbali,ni kwamba kipindi chote hiko hakuona fursa katika viwanda vya dawa?

Hizo sababu alizoziona sasahivi kwa huko nyuma hazikuwepo?
Unaweza ukasema kapewa moyo na sera za Rais, ila kiwanda chake hiki kitadumu miaka na miaka mpaka atavyoingia rais mwingine na je akija na sera nyingine itakuaje? Maana kwenye dokezo la Waziri wa Afya Ummy Mwalimu nimeona kama kutakua na upendeleo fulani kwa kiwanda hiki.

Isije tu ikawa kama yale mambo ya ujenzi wa CRDB ya ghorofa moja Chato tu au ndio namna ya Mzee kujikomba kwa Rais ili asipate dhahma?
Siasa no Biashara na Biashara ni Siasa. Vyote vinategemeana.
Fahamu kuwa wote wanaochangamkia fursa za awamu hii kwa kwendana Na nidhamu,Kasi na Uzalendo wa kweli ktk awamu hii ndio watakaoibuka na mafankio makubwa.
Wale wapiga domo na umbea wakiwa bz kusaidia mafisadi mwisho wa siku watajikuta wako nyuma
 
Isije tu ikawa kama yale mambo ya ujenzi wa CRDB ya ghorofa moja Chato tu au ndio namna ya Mzee kujikomba kwa Rais ili asipate dhahma?
Dawa ni industry mamia ya mabilioni ya pesa. Kweli there is an opportunity. Mengi si CRDB hawezi kushinikizwa kirahi rahisi.
 
Nimeona kwenye habari ITV leo kua Mzee wetu pamoja na mbia mmoja toka India wanapanga kujenga kiwanda Bagamoyo cha kutengeneza dawa,M Pharmaceuticals Ltd,wataanza na maji ya drip,watawekeza jumla ya Billion 53/=.

Hii inatokana na rai aliyopewa Mengi na Mh Rais wakati wa uzinduzi wa Hospitali ya Mloganzila na yapata miezi 6 tu tangu rai hiyo itolewe tayari wameshafanya uamuzi.Uamuzi huu umezingatia kweli vigezo vya kiuchumi au ni kwa sababu tu Rais kasema?

Ifahamike Mengi ni mtu wa biashara kwa muda mrefu na amekua akiwekeza katika sekta mbalimbali,ni kwamba kipindi chote hiko hakuona fursa katika viwanda vya dawa?

Hizo sababu alizoziona sasahivi kwa huko nyuma hazikuwepo?
Unaweza ukasema kapewa moyo na sera za Rais, ila kiwanda chake hiki kitadumu miaka na miaka mpaka atavyoingia rais mwingine na je akija na sera nyingine itakuaje? Maana kwenye dokezo la Waziri wa Afya Ummy Mwalimu nimeona kama kutakua na upendeleo fulani kwa kiwanda hiki.

Isije tu ikawa kama yale mambo ya ujenzi wa CRDB ya ghorofa moja Chato tu au ndio namna ya Mzee kujikomba kwa Rais ili asipate dhahma?
Jambo zuri kama hili unalitolea maelezo ya kinafiki nafiki hivi
Mtu kaitikia wito wa baba bado unamtilia mashaka
Tatizo lako nini ?
Ulipaswa kumpongeza sio kejeli
 
Naona Baba awamu hii yeye ndio anafanya maamuzi ya uanzishwaji wa viwanda,Mara ya mwisho nakumbuka alimshawishi SSB naona nae tayari ashaanza mashamba ya majaribio Bmoyo kuhusu sukari.Kama ndio hivyo turudi tu kule kwa Ujamaa serikali kuamua mali ipelekwe wapi.
 
Dawa ni industry mamia ya mabilioni ya pesa. Kweli there is an opportunity. Mengi si CRDB hawezi kushinikizwa kirahi rahisi.
Haaa mkuu,Mzee aliyumbishwa sana hapo mwanzoni kwenye suala la biashara yake ya media,Bashite ndiye alikua mpuliza zumali mkuu.Sasahivi kaamua acheze tu mziki wa Pombe,isije akapigwa na nusu kiharusi tena.
 
Mnaolalamika miaka yote Ni walewale na wanaofanikiwa Ni walewale WA miaka yote.
 
Naona Baba awamu hii yeye ndio anafanya maamuzi ya uanzishwaji wa viwanda,Mara ya mwisho nakumbuka alimshawishi SSB naona nae tayari ashaanza mashamba ya majaribio Bmoyo kuhusu sukari.Kama ndio hivyo turudi tu kule kwa Ujamaa serikali kuamua mali ipelekwe wapi.

Unadhani Dangote alikuwa Tu kama kimbunga Tanzania?
 
Back
Top Bottom