Kiwanda Cha Coca cola Bonite Chasimama

TOFU

JF-Expert Member
Aug 26, 2012
573
196
Tangu nikifahamu ichi kiwanda kilichopo Hapa Moshi sijawai kukiona au kusikia Shuhuli zote zimesimama ni baada ya Kiwanda kukosa umeme..
 
Halafu mengi anajitapa tajiri no 1 tanzania huku kila kiwanda kimemshinda
 
Mkuu kuna mitambo mingine lazima uwe na umeme wa tanesco au majenereta km yale ya jamaa wa iptl ndo utai run.sasa km siku za nyuma umeme haukua tatizo sidhan km alikua na haja ya kutafuta power backup
 
Back
Top Bottom