Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
Ndala ni za kuendea bafuni, chanel five wapo sahihi. hata makao makuu ya JWTZ Ngome ukienda umevaa Jeans huruusiwi kuingia getini. kila sehemu na utaratibu wake. Miaka ya nyuma nilishawahi kukataliwa kuingia Le Grand Casino nilikuwa nimevaa pensi.
Kitendo cha mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Sir Juma Nature weekend iliyopita baada ya kwenda studio kwenye kipindi cha Saturday Night Live akiwa na ndala na kaoshi, hajakichukulia poa staa huyo.
Licha ya kuwasilisha malalamiko yake kwenye Facebook kutokana na kitendo hicho, Nature hajaishia hapo na sasa amemchana mtangazaji wa kipindi hicho kwenye wimbo mpya wa TMK Halisi, Fiti
Ndio matatizo ya wabongo nguo za kulalia tunavaa ofisini..za beach tunaenda nazo kanisani..full vituko kila mahali...
Wengine itakuwa ni cha Arusha
juma nature ndio nani?
..... Swali zuri!
google facebook na makampuni mengi ya it ya nje wewe njoo umevaa vyovyote wao hawana noma
tena google ndio wamekwenda mbali kabisa kuwa unaweza ingia na mbwa wako kazini, paka wako, watoto wako wakawa wanacheza wakati wewe unaendelea na kazi zako the reason behind ni kuwa everyone has got an idea
kuhusu swala la necha kuingia na kaoshi mkuu mbona
wenzetu huko watu kama kina
t.i , gucci mane wanaingia na kaoshi plies huwa anafika mbali kabisa kwa kuvua shati kwenye interview
wanasema eti necha alikuwa high sijawahi kuona interview ya wiz khalifa ambayo hayuko high zote wanakuwa high
anyway necha wamepata wa kumuonea sawa ni maadili ila swali langu ni hili
wiz khalifa angekuja na kaoshi pale akiwa na bangi zake kicwani je sam misago angemfukuza??
..... Swali zuri!
bu kwa
sii utaarabu kuvaa hivyo then unaenda ofsin kwa watu ukiwa ktk hali hiyoPHP:
Mh!
Pengine hata kupajua hupajui.
Usiyempenda Kaja