Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,475
- 5,900
Tanzania Abroad TV
@AbroadTanzania
1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco.
2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba ya Richmund, Dowans, Symbion, na mingineyo;
3. Ufisadi wa kutisha uliofanywa na kigogo wa CCM huko Loliondo; ufisadi wa kutisha wa kulifilisi shirika la TANAPA kwa bodi ya wakurugenzi wa kulipana US $ 10,000 kwa kila kikao;
4. Ufisadi wa kutisha wa kusafirisha wanyama pori wakiwa hai na kuwapeleka Uarabuni;
5. Ufisadi wa kutisha wa kuisamehe kodi kampuni ya Stwart ya Uingereza, kesi hii ipo mahakamani, lakini inaonekana Serikali inawapendelea washitakiwa (danganya toto);
6. Ufisadi wa EPA; ufisadi Meremeta;
7. Ufisadi Deep Green; ufisadi wa Mwananchi Goldmine;
8. Ufisadi wa 2010 ambapo Ikulu ilifisadi mabilioni ya pesa kwa kisingizio cha kuwalipia viongozi wa kimataifa;
9. Ufisadi wa kununua Radar mbovu;
10. Ufisadi wa kununua ndege ya rais; ufisadi wa Kagoda;
11. Ufisadi wa mikataba mibovu ya madini; ufisadi wa mikataba mibovu ya gesi;
12. Ufisadi wa kuuza ardhi ya watanzania; ufisadi uliofanywa katika kuingia mikataba mbalimbali na makampuni ya kutoka nje na yale ya ndani;
13. Ufisadi uliopo kwenye idara za wizara mbalimbali;
14. Wakati wa Kikwete ufisadi mkubwa uliofanyika kwenye mradi wa kilimo kwanza;
15. Wakati wa Mkapa ufisadi wa kutisha uliofanywa kwenye ubinafsishaji wa mali za umma;
16. Ufisadi wa kuuwa tembo na faru unaofanywa na wabunge wa CCM kwenye mbuga zetu za wanyama;
17. Ufisadi wa kutisha kwenye mashirika ya hifadhi za pesa za wafanyikazi (NSSF, NPF, n.k.); ufisadi wa pesa za vyuo vikuu;
18. Ufisadi wa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu;
19. Ufisadi na uhalifu wa kujihusisha na biashara za madawa kulevya.
MARK MY WORDS
“There is no stone left unturned”