Anachofanya Lowassa ni kutupa mawe gizani halafu wale wanaopiga kelele ujue mawe yamewapata! Lowassa ni tishio sana ktk siasa za Tanzania. Ana wafuasi wengi sana kanda ya ziwa na Zanzibar.Halafu jamaa anakubalika mpaka kwa viongozi wa juu wa CHADEMA!
Kivuli kinawatisha ninyi mlio na pricetag. JK,EL na RA ni genge moja. hawakukutana barabarani, yeye mwenyewe alishasema.
Kwa nini alikubali kujiuzuru uPM bila kuwaeleza waTz anaodai kuwapenda ukweli kuwa washikaji zake JK na RA ndio Richmond/DOWANS wenyewe. kwa nini alishindwa kuchukua uamuzi mwepesi tu wa kuwataja kama na yeye was not part of it?
Sasa anahangaika kuwatuma watu JF na kununua waandishi waliojirahisi
Pole sana mnyisanzu, bahati mbaya kwa Lowasa na wafuasi wake, CDM si mali ya viongozi.Anachofanya Lowassa ni kutupa mawe gizani halafu wale wanaopiga kelele ujue mawe yamewapata! Lowassa ni tishio sana ktk siasa za Tanzania. Ana wafuasi wengi sana kanda ya ziwa na Zanzibar.Halafu jamaa anakubalika mpaka kwa viongozi wa juu wa CHADEMA!
kuna mou kati ya cdmAnachofanya Lowassa ni kutupa mawe gizani halafu wale wanaopiga kelele ujue mawe yamewapata! Lowassa ni tishio sana ktk siasa za Tanzania. Ana wafuasi wengi sana kanda ya ziwa na Zanzibar.Halafu jamaa anakubalika mpaka kwa viongozi wa juu wa CHADEMA!
Anachofanya Lowassa ni kutupa mawe gizani halafu wale wanaopiga kelele ujue mawe yamewapata! Lowassa ni tishio sana ktk siasa za Tanzania. Ana wafuasi wengi sana kanda ya ziwa na Zanzibar.Halafu jamaa anakubalika mpaka kwa viongozi wa juu wa CHADEMA!
Kivuli kinawatisha ninyi mlio na pricetag. JK,EL na RA ni genge moja. hawakukutana barabarani, yeye mwenyewe alishasema.
Kwa nini alikubali kujiuzuru uPM bila kuwaeleza waTz anaodai kuwapenda ukweli kuwa washikaji zake JK na RA ndio Richmond/DOWANS wenyewe. kwa nini alishindwa kuchukua uamuzi mwepesi tu wa kuwataja kama na yeye was not part of it?
Sasa anahangaika kuwatuma watu JF na kununua waandishi waliojirahisi
Huyu mtu anatisha jamani what i believe akigombea tu kachukua nchi!
Sasa wewe kinachokufanya utokwe na mapovu ni kipi?!!:A S embarassed:basi Lowasa ni MZIMU unaotembea ikiwa kivuli chake kinatisha. Awe Mgombea Binafsi ili akamilishe ufisadi maana hakuna wa kumzuia.
Anatisha mpaka huko magwandani. Kama unabisha mwambie Slaa au Mbowe atoe mbofumbofu kwa Captain Lowassa tuone kama ataweza!:A S embarassed: :lol:Kinatisha huko magambani