Kivuli cha dude kubwa cha kutisha kinanisumbua usiku

Awamu ya tano tumeshuhudia shuhuda nyingi sana.

Namna pekee ya kufix hili tatizo lako mpaka 2025 hapa katikati endelea kuvumilia
 
Mkuu mimi nina miezi kama miwili kuna tatizo limeanza kunitokea na sijui linasababishwa na nini. tatizo lipo hivi , kuna siku ulitokea moto chumbani na ukaunguza begi la mtoto wangu tu na nguo zake na inawezekana ulizima wenyewe maana mtoto yupo boarding na mimi nilikuwa kazini nilikuja kujua baada ya kurudi jioni, ikapita kama wiki asubuhi baada ya kujiandaa kwenda kazini wakati navaa viatu nikakuta kiatu ninachovaa kimekatwa kamba wakati usiku wakati naviandaa vilikuwa na kamba zake zikiwa nzima, sikuwaza nikabadirisha nikavaa vingine, hapa juzi nilienda south afrika niliondoka na nguo mbili tu za ziada kwa kuwa safari yangu ilikuwa ntakuwa kule kwa siku mbili tu nilivyofika kule wakati nipo hotel nimetoka kuoga nataka nibadilishe nguo nikakuta shat imekatwa kola haipo kabisa na surual imekatwa vipande vipande kama sambusa, mimi ni mtu wa kupuuza sana lakini kwa hili i think its to big for me , msaada wa ushaur na kwa uzoefu wako vipi kunaweza kuwa na mambo ya kiswahili katika haya yanayonitokea?
ningeshahama hata nyumba na kuchoma nguo zote.
 
hapa Mshanajr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau wote wa JF,

Nimepata tatizo ambalo silielewi, kwa muda mrefu nimekuwa nikiona kivuli cha mtu cheusi nikigeuka kinapotea ila hiyo hali haikunipa shida nilidharau halafu ilikuwaga ni home tu, Ila sasa hivi hata nikiwa kwengine.

Sasa kuna kivuli hicho kimenijia kwa mara ya tatu sasa hicho hakipotei kinakaa na huwa kwenye kuta za sitting room taa zikiwa zimezimwa usiku wa manane.

Leo hii ni mara ya tatu, huwa nakiona nikiwa macho yanaangalia pembeni nikigeuka nikiface kinapotea sasa leo nimemwita mama nikamwambia kile kivuli nachokwambia kiko ukutani vipi unakiona huku mimi nikiwa naangalia pembeni lakini nakiona mama akaniambia haoni kitu.

Sasa ndugu zangu wa JF mnisaidie hiki ni kitu gani maana nikiwaambiwa watu wengine wananiona kama nina wasiwasi au nimechanganyikiwa.

Kivuli chenyewe ni dude kubwa hivi halafu naona mkono wenye kucha ndefu ni cheusi.

Hii hali imenishangaza sana, mama ananiambiwa tunakuitia shehe akusomee.

Ila nimebaki na maswali, hiki kivuli kinataka nn kwangu kama kuna wadau wanafaham hali hii wanielezee.

Sitanii ndugu zangu nahitaji mawazo yenu
Ukigeuka ukiface kinapotea, ukiangalia pembeni unakiona. Fafanua mkuu ila samahani.
 
Mkuu usije ukawa ndio umeanza kuvuta bangi.. Maana bangi unapoanza kuivuta siku za mwanzo huwa inapelekesha vibaya.. Mwenzio niliwahi kupotea nyumban wakat naenda dukani kununua mchele wakat huo mchele uko ndani.

Nilivofika dukani nikapotea nyumban nikawa sipakumbuki nilizunguka mtaani siku nzima huku nawaulizia watu na wanaponijibu nikawa nahisi wanatoa sauti kubwaa nikawa naogopa..

Bangi mbaya sana siku za mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyo malaika kwanini ajitokeze ukubwani. Mbona sisi wengine hatuwaoni malaika wetu ina maana hatuna? Je kila mtu ana jini?
Kuna mawili, huyo ni jini au malaika anayekulinda maana kila binadam ana malaika wake pembeni yake anayemlinda, ila hebu angalia hicho kivuli kinaonyesha ishara gani nzuri au mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom