Makavengaaa
Member
- Mar 6, 2019
- 41
- 56
- Thread starter
-
- #61
Sitting room na dining zmeshikanaMe najiuliza sitting room usiku wa manane taa zikiwa zimezimwa huwa unafanya nini. Hilo moja.
Pili mirungi inatoa usingizi kama unapiga muda mrefu na Pia una stress inaweza kuwa chanzo cha hiyo hallucination
Usingiz wa usiku tu sijaupata mda mrefu ila kama kulala nalala mchana.Huyu tatizo lake ni usingizi hajalala muda mrefu kwa sababu ya andasi ya mrungi huko unako taka aende ndiyo utampoteza zaidi maana atakutana na wajanja watazidi kumtia uwoga ili wapige pesa!!
Sasa usinywe chai usiku!!Sitting room na dining zmeshikana
Sasa huwa napenda kunywa chai usiku.
Mara zote kivuli kimenitokea nikienda kuchukua chai au maji kwenye friji
Sijasema malaika wala jini, nimeuliza hichi kivuli ni cha ninihakuna cha malaika wala jini, huo ni uoga tu. hiyo itakuwa mbalamwezi au taa, na ikimulika kitu flan inaleta kivuli, ss uoga wako ww ndo unaona vtu vya ajabu.
acha kiwaza kulogwa tu, utalogwa kweli
Hospital nawaambia vp, wasije wakanichoma shindano za wagonjwa wa akili
Schizophrenia inakusumbua, kawaone wanasaikolojia.
Naungana na mshana jr kuwa; Usitake asilan kujua kinataka nini kwako. Huko ni kushauriana nacho kitu ambacho ni kibaya zaidi. Pili, usiende hospital kwani wataishia kukuchoma masindano ya vichaa.
Nenda maombi mazito ya kulikemea hilo pepo. Omba ka kichaa hadi Mungu akusikie akuokoe na hilo jinamizi. Sio malaika kama wanavyokuambia wengine bali ni pepo baya. Hapo, Damu ya Yesu tu ndo dawa yako mengine ni kupoteza muda na mauti kukujilia ghafula
Dawa yake hii: ukiona kivuli hicho ita kutoka moyoni: YESU KRISTO! Mwombe afukuze nguvu za giza katika maisha yako, utaniambia natokeo.Mm naona kama ishara mbaya maana kabla hakijaja kichwa kinauma halaf macho kama yanacheza halaf ndo naanza kukiona
Kingine kinatisha sema mm sio mwoga kivile tofaut na angekiona mtu mwingine
Yap psychiatrist watamfaa zaidi...Akawaone psychiatrist!
Hospital nawaambia vp, wasije wakanichoma shindano za wagonjwa wa akili
Hiyo itakuwa handas ya mirungi,Huo mmea situmii labda mrungi
Imani safi ni ipi?? Kwenda hosp ili mkamchome sindano za vichaa?? Pole sanaHizo ni imani potovu