Hii idea ya kufananisha kigamboni na ubungo imewashika sana nyinyi msiopenda kufikiri.
Yaani mtu hujali kwamba ilishatolewa na ikajibiwa hapa nawe unaileta, kua mbunifu uje na kitu chako.
Ubungo watu wanasindikiza wasafiri(sio lazima, pia sio kila siku.
Kigamboni watu wanavuka kuja makazini, vyuoni n.k na ni kila siku na lazima vilevile
hivi ubungo unaingia kila siku? au kila siku unasindikiza mgeni? unaweza kulinganisha na kigamboni ambako unaishi na kuhitaji uduma ya pantoni mara 2 hadi 3 kwa siku?mara 60 hadi 90 kwa mwezi?