Serikali imeshindwa kuendesha kivuko Cha Magogoni Ferry,
Azam amewekeza ktk usafiri wa maji, Sasa hivi ndo anatoa huduma/ Biashara ya akuvusha watu pale ferry, kwa Uwakika kabisa. Na watu Wengi wanaona Bora wapande kivuko cha Azam kuliko cha Serikali.
Kivuko kilichopo, kitakufa kama vilivyokufa vingine, Swali la kujiuliza inamaana Azam ni borq sana kwenye utendaji kazi kuliko Serikali.
Inamaana Serikali inazidiwa na mtu Binafsi.
Vivuko vyote vimekufa, Je, huu ni mtazamo wangu, au Kuna watu wamehusika kukihujumu kivuko vife/ viwe vibovu vishindwe kufanya kazi.
Ninachoona kwa mtazamo wangu kivuko kilichopo ni kibovu, nacho kinaenda kwa kusua sua nacho kitakufa.
Baada ya vivuko vyote Kufa, Azam anabudi kupewa kivuko kuendesha, maana na Tafsiri yake Watu wanapewa Dhamana ktk shughuri za Serikali sio waaminifu na sio wazalendo ingawa wanahubiri uzalendo.
Idara ya Usalama wa Taifa umelala fofofoSerikali imeshindwa kuendesha kivuko Cha Magogoni Ferry,
Azam amewekeza ktk usafiri wa maji, Sasa hivi ndo anatoa huduma/ Biashara ya akuvusha watu pale ferry, kwa Uwakika kabisa. Na watu Wengi wanaona Bora wapande kivuko cha Azam kuliko cha Serikali.
Kivuko kilichopo, kitakufa kama vilivyokufa vingine, Swali la kujiuliza inamaana Azam ni borq sana kwenye utendaji kazi kuliko Serikali.
Inamaana Serikali inazidiwa na mtu Binafsi.
Vivuko vyote vimekufa, Je, huu ni mtazamo wangu, au Kuna watu wamehusika kukihujumu kivuko vife/ viwe vibovu vishindwe kufanya kazi.
Ninachoona kwa mtazamo wangu kivuko kilichopo ni kibovu, nacho kinaenda kwa kusua sua nacho kitakufa.
Baada ya vivuko vyote Kufa, Azam anabudi kupewa kivuko kuendesha, maana na Tafsiri yake Watu wanapewa Dhamana ktk shughuri za Serikali sio waaminifu na sio wazalendo ingawa wanahubiri uzalendo.
Ukitaka kuzilaumu serikali za Black Africa utachoka.Kile walichopeleka kenya vipi
Washindwe mara ngapi?Watashindwa kuiendesha hiyo sgr.
Serikali haijashindwa kuendesha hiko kivuko. Tungeachiwa moja tungelia, Azam Marine sasa zinatumika kuvusha abiria kati ya Magogoni na Kigamboni kutokana na makubaliano kati ya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) na kampuni ya Azam Marine. Ili kutoa huduma ya uhakika wakati ambapo vivuko vya serikali vinafanyiwa matengenezo makubwa ili kuhakikisha vinakuwa katika hali bora na salama zaidi.
Pia, maboresho haya yanajumuisha ujenzi wa maeneo mapya ya kupokelea na kusubiria abiria, pamoja na mipango ya kuongeza maeneo ya kutia nanga ili kuruhusu feri tatu kufanya kazi kwa wakati mmoja. Na ndio maana azam marine yupo pale. Siku za nyuma tulikua tunafix tu, sahvi zinatengenezwa kwa ubora zaidi.
Tusijazane Siasa, na Mimi sio mwanasia, Haya mambo ya kuoneana aibu kusema ukweli ndomana waafrica Kila Jambo atuwezi kulifanya kwa ustadi 100%Serikali haijashindwa kuendesha hiko kivuko. Tungeachiwa moja tungelia, Azam Marine sasa zinatumika kuvusha abiria kati ya Magogoni na Kigamboni kutokana na makubaliano kati ya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) na kampuni ya Azam Marine. Ili kutoa huduma ya uhakika wakati ambapo vivuko vya serikali vinafanyiwa matengenezo makubwa ili kuhakikisha vinakuwa katika hali bora na salama zaidi.
Pia, maboresho haya yanajumuisha ujenzi wa maeneo mapya ya kupokelea na kusubiria abiria, pamoja na mipango ya kuongeza maeneo ya kutia nanga ili kuruhusu feri tatu kufanya kazi kwa wakati mmoja. Na ndio maana azam marine yupo pale. Siku za nyuma tulikua tunafix tu, sahvi zinatengenezwa kwa ubora zaidi.
Sawa wewe sio mwana siasa, ulitaka siasa iliyomleta azam marine, wasizilete na zipo zimepaki tu pale, tubaki na MV kazi? Tusubirie almost 80 mins kupanda kuvuka? Serious?Tusijazane Siasa, na Mimi sio mwanasia, Haya mambo ya kuoneana aibu kusema ukweli ndomana waafrica Kila Jambo atuwezi kulifanya kwa ustadi 100%
100% Kivuko kimewashinda Serikali sio kuremba kwa maelezo au kupaka mafuta, mradi wa mwendo kasi nao unasua sua. Kiufupi nao umewashinda Tayari, Bado kumleta tu Mtu wakuja kuwasaidia, Sasa, Swali la kujiuliza Serikali inaweza Nini...Sawa wewe sio mwana siasa, ulitaka siasa iliyomleta azam marine, wasizilete na zipo zimepaki tu pale, tubaki na MV kazi? Tusubirie almost 80 mins kupanda kuvuka? Serious?
Good at dancing, alcohol, give them Guns they will kill each Other."Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Na wenyewe wanaye wa kumshushia zigo la lawama, "haya ni ya wanasiasa". Mwisho wa siku mali za umma hazina mlinzi wala muangalizi.Idara ya Usalama wa Taifa umelala fofofo
Mleta mada kama anaakili ya kiuchambuzi na kimantiki asome hii👆👆👆 koment vitu binavyotokea Afrika sio vya kuumiza kicha kabisa.Ni mambo yalitarajiwa tangu enzi na enzi."Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.