kashesho
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 4,974
- 2,492
Unaogopa maji kweli? huogi wala hauyanywi?
ha ha ha sio hayo
Unaogopa maji kweli? huogi wala hauyanywi?
Vipi ukipewa mtoko wa zanzibar kwa meli itakuwaje?ha ha ha sio hayo
Vipi ukipewa mtoko wa zanzibar kwa meli itakuwaje?
poleni. kwa mimi ninavyoogopa maji ungekuta nimeshazimia hapo
Kama ni mimi nitakufanyisha mazoezi kwenye swimming pool, au nikupost kwa wale jamaa waofunza kuogelea kwenye maitiri pale coco beachhapana huko siwezi kwenda kwa boti wala meli labda ndege au gari kali lipo
Kama ni mimi nitakufanyisha mazoezi kwenye swimming pool, au nikupost kwa wale jamaa waofunza kuogelea kwenye maitiri pale coco beach
Kuna wimbo fulani wa zamani ulikuwa unamaneno yanasema 'kuishi kisiwani kuna utamu wake' siku ukijaribu lazima kila xmass utabadili njia..badala ya kwenda kule kwa kawaida utakuwa unapanda meli kwenda kisiwani..hapana hata sitaki kabisa
Pigeni mbizi! Poleni sana.
Kuna wimbo fulani wa zamani ulikuwa unamaneno yanasema 'kuishi kisiwani kuna utamu wake' siku ukijaribu lazima kila xmass utabadili njia..badala ya kwenda kule kwa kawaida utakuwa unapanda meli kwenda kisiwani..
inawezekana lakini hata sijawahi kuwa na shauku kabisa ya kupanda boti
ndugu ulishawahi kupanda ndege?
nimepanda
nimepanda