Akatanyukwilwe
Member
- Aug 1, 2014
- 34
- 14
Muda huu niko kwenye kivuko cha magogoni toka posta kwenda kigamboni. Kivuko kimeharibika katikati ya maji. TPA sasa hv ndo wanatusaidia. Hali ni mbaya sana.
Tunamshukuru Mungu TPA wamekipush push mpaka kimefika. Hali ni mbaya kwetu ss tunaofanya kazi kigamboni.
"Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wotee"
Moyo upi, huo wimbo wauimbe mafisadi wenyewe tumewachoka
Ule ushauri wa 'kupiga mbizi' hamkuukubali?Muda huu niko kwenye kivuko cha magogoni toka posta kwenda kigamboni. Kivuko kimeharibika katikati ya maji. TPA sasa hv ndo wanatusaidia. Hali ni mbaya sana.
Unaogopa maji kweli? huogi wala hauyanywi?poleni. kwa mimi ninavyoogopa maji ungekuta nimeshazimia hapo