Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,412
- 26,893
Za kuambiwa changanya na zako..hapa Kuna mambo mengi aidha habari hatuna uhakika nayo pia Kama Ni kweli Basi kiuhalisia Hilo daraja halitumii hata million moja iweje isemekane million 7?Chama cha Majizi, hiyo takataka ndio 7.8 mil?
Ukiwa CCM lazima unakuwa ni zuzu
Huenda hayo mawe yalikuwa imported from NORTHERN KOREA, CEMENT FROM IRAN AND MCHANGA FROM CUBAZa kuambiwa changanya na zako..hapa Kuna mambo mengi aidha habari hatuna uhakika nayo pia Kama Ni kweli Basi kiuhalisia Hilo daraja halitumii hata million moja iweje isemekane million 7?