Wanaogopa kurogwa kwasababu watanzania 98% ni washirikina.KWANINI SERIKALI INAZUIA WANANCHI WANAOTUMIA KIVUKO CHA KUTOKA KIVUKONI KWENDA KIGAMBONI KUPIGA PICHA , TATIZO NINI HUDUMA MBOVU, WANAFICHA NINI WAKATI LILE NI ENEO LA KITALII WATU WANAENDA KWENYE FUKWE MBALI MBALI KWANINI WANAZUIA