Kivazi changu cha Ndani!Jamani!

Kivazi changu cha Ndani!Jamani!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
kivazi.jpg
Hiki ndo kivazi changu cha ndani!Kingine kaendanacho kaka njombe!
 
Vipi kwa kuwa inaingiza hewa inakuwa si rahisi kupata fangasi
 
Jamani inanikumbusha wale wahindi wa BRAC ndio ukikuta vyupi vyao vimeanikwa kwenye kuta za makambi yao ni kama vile jamaa amekopi na kupest
 
kazi popote hapo...huhitaji kuivua...namaanisha kususu!!!
 
Inasehemu tatu za kupitishia miguu lol
 
Mmh sipati picha umeingia geto na mrembo halafu kwa mbwembwe amekurukia makiss,mashamsham kibao mara anakuvua suruali anakutana na kufuli chokest kama hyo dah anaweza kughair mpambano aisee.
 
hiyo ni tiba mbadala kwa wale ambao mikuki yao imeanza kupinda!
 
nashindwa kuelewa jamani, ni nini haswaa kinaichanachana namna hiyooo????
 
Back
Top Bottom