beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
- Thread starter
-
- #101
Haya mamitooo nangoja hapabeibe nasty janai nilikuwa busy kidogo ..ngoja nimalizie report nikwambie leo nimetoka vip..
Cg umeniudhi jana nakuuliza wapi ulipo umekula ganzi haya leo sema sasahivi ilinikupangie safari huko jamanJunior. cux ndo kusema hujansamee, mbna kimya mwenzio? mwishowe utaninunia had mtaan mwe!
POle sijaiona hiyo post madia. BTW upo wapi now au ratiba yako leo ipoje? Am so sorry plz!Cg umeniudhi jana nakuuliza wapi ulipo umekula ganzi haya leo sema sasahivi ilinikupangie safari huko jaman
Junior. cux ndo kusema hujansamee, mbna kimya mwenzio? mwishowe utaninunia had mtaan mwe!
bado leo mseme tena si mnajua hili thread ni continuous so jimwaye haraka hapa umetupia nin leo?
mwenzenu leo nimetupia kitu cha suti km manager wa bank flan kumbe deiwaka. kipimajoto na kiatu vyahucka sana a.k.a jana na leo. haya beibe nasty we umetupia nini mwana?
leo itabid nikutafute sio siri walat tupge pcha moja myn.!!
hahahaa tutatoka vzr kwel,tena pale kwny samak afu tunaiupload jf!
Sanane ntakuwa mjin upo wapi nije mmi kukuona jamanPOle sijaiona hiyo post madia. BTW upo wapi now au ratiba yako leo ipoje? Am so sorry plz!
suti nyeusi..viatu vyeusi ..shati jeupi na suti nyeusi nyembamba....i pad mkononi ...naingai mitaa flan flan kwenye madili
Mashaallah!?! AngelMi leo nimetupia baibui, shungi na nikabu juu vyote black
xa beibe c nlikutel uwe unaanza kuxema ya kwako.?? bt co issu, leo niko na prezentatn jion xo kitu cha official kinausika... sut flan modo, neck tie kwa juu, black rolex mkonon plus mchomoko wa kibish.!!