Kiutani zaidi.....Nasikia waliokufa wengi katika MV Nyerere ni hawa ' Washamba ' asili nchini Tanzania.....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,543
108,877
Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Abiria wote kutokea Mkoani Mara ( Musoma ) waliokuwemo katika Kivuko cha MV Nyerere kwani inasemekana katika wale Abiria wote waliookolewa hadi hivi sasa wote wamagundulika wanatokea Mkoa wa Wata Wajanja na Makini kabisa wa Mara.

Ila inasemakana kwamba wengi waliotutangulia mbele ya haki ni Watu kutoka Mikoa ya Kagera, Singida, Kigoma na Dodoma ambao wao hata iweje Kuogolea Kwao huwa ni zoezi gumu. Na kwa jinsi ninavyowajua Watu hawa wa hii Mikoa tajwa hapa wanavyopenda Kutoana ' Mikafara ' ili tu waweze Kuyafikia Maendeleo chanya ya Mkoa wa Mara safari hii wameamua kabisa kuwatoa Ndugu zao ' Sadaka ' ya Kishirikina.

Watuombe tu radhi kwakweli na ningeshangaa mno kama Mtu / Abiria yoyote kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) angepoteza maisha katika Ajali hiyo kwakuwa kama kuna Watu ambao Tanzania hii nzima wanajua Kuogelea tena pengine hata kuwashinda akina Samaki Sato na Sangara basi ni wao Wana Mkoa wa Mara.

Jamani hapa nipo Kiutani zaidi hivyo msimaindi / msihamaki kivile na hiyo Mikoa tajwa hapo ndiyo ya Watani zangu wakubwa.

Poleni kwa Msiba Watanzania wote na Mwenyezi Mungu aziweke Roho za Marehemu wote mahala pema peponi Amina.

Nawasilisha.
 
Ulisema wewe ni mtusi utani na mikoa tajwa inaanzaje?
 
kaka ni wewee ndio umeandika hicho kituu aiseee leo umejiangusha kaka sio kwa content hiyo hebu jifikiriee alafu kama ukiweza delete.
 
Back
Top Bottom