Kiungo wangu bora wa ' Ukabaji ' nchini Tanzania kwa sasa Jonas Gerald Mkude a.k.a Deco De Souza amuumbua ' Mpuuzi ' Amunike

Mechi zote za nyuma Mkude alikuwa anabebwa na Chama na Kotei wewe hujui mpira kauze samaki
 
ILIVYOKUWA
Amunike sio Mtanzania haishi kwa majungumajungu na ni kocha wa kimataifa.
yule mkude anakunywa sana KONYAGI rudia neno kunywa sana
siku walivyoitwa kambini alienda asubuhi akiwa bwiii bin ziii ananuka pombe mdomoni. kocha alisalimiana na kila mchezaji akakuta jamaa ananuka pombe . akamfukuza kwakuwa watanzania ni mbumbumbu kama wewe mtoa mada mkashabikia kwamba amefukuzwa ati kwakuwa kocha ana mapenzi na yanga.
Kwa tabia za mkude anaweza kucheza mpira Tanzania tyuu tena simba maana ni rafiki binafsi wa mo.
Kocha yeyote anayejua kazi yake mkude atamwacha tu sio kwakuwa hajui mpira kwa tabia ZA ULEVYI WA KUPINDUKIA
 
Tumuite kocha achukue maoni yako kwa kila mchezaji. Unaonekana kuwajua kila mchezaji wa timu ya taifa. Kweli we poyoyo!!
 
umekuwa na namna flan ya kujitetea kwa jamaa aliyekukosoa, hadi kuipoteza fact nzuri uliyoeleza mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…