Kiungo wa kimataifa wa Uholanzi aliyesajiliwa na timu ya FC Barcelona, akitokea timu ya Ajax FRENKIE DE JONG Yupo Tanzania

Papaa Muu

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
243
292
Kiungo wa kimataifa wa Uholanzi aliyesajiliwa na timu ya FC Barcelona, akitokea timu ya Ajax FRENKIE DE JONG Yupo Tanzania wilayani BABATI Kwa mapumziko na anatarajiwa kutembelea hifadhi ya Manyara, Tarangire na hifadhi ya jamii ya Burunge wilayani Babati.

#UtaliiTanzania
IMG_20190623_085305.jpeg
 
Kiungo wa kimataifa wa Uholanzi aliyesajiliwa na timu ya FC Barcelona, akitokea timu ya Ajax FRENKIE DE JONG Yupo Tanzania wilayani BABATI Kwa mapumziko na anatarajiwa kutembelea hifadhi ya Manyara, Tarangire na hifadhi ya jamii ya Burunge wilayani Babati.

#UtaliiTanzaniaView attachment 1135508
Safi sana, naomba unisaidie info kidogo kuhusu hifadhi ya jamii ya Burunge lililopo Babati. Natamani kufika maeneo ya Manyara ambayo ninaambiwa jamii zote zinakaa eneo moja yaani Bantu, Nilotics na Khoisan.
 
Kiungo wa kimataifa wa Uholanzi aliyesajiliwa na timu ya FC Barcelona, akitokea timu ya Ajax FRENKIE DE JONG Yupo Tanzania wilayani BABATI Kwa mapumziko na anatarajiwa kutembelea hifadhi ya Manyara, Tarangire na hifadhi ya jamii ya Burunge wilayani Babati.

#UtaliiTanzaniaView attachment 1135508
Aisee hii ipo poa sana ila hapo Babati kafikia hotel gani? maana ni kama hamna hoteli ya maana hapo mjini labalda kama ni Tarangire.
 
Back
Top Bottom