Kiungo Mbrazil wa Yanga awasili

Kiungo Mbrazil wa Yanga awasili

Wabrazil wakali wapo timu ya taifa. Wasitubabaishe hapa
 
*YOUNG AFRICAN BWANA A RAHA SANA! simba wivu wa nini? HII NI YOUNG INTERNATIONAL SPOTTING wandugu
 
View attachment 167482
Kiungo mpya mshambuliaji wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohammed Bhinda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam mchana wa leo, tayari kuanza kazi Jangwani

Kakaa kama mhindi laini laini ukute chakula cha maskimo hicho
 
Hahahaaaa...
Tunadhani kila Coutinho ni "real"!!!!
 
kiungo mbraziri atua yanga.watanzania wanafikiri kila mbraziri mchezaji kaaazi kwelikweli
Ndio faida ya nchi kuwa na sifa nzuri fulani. Wanaodhani hivyo hawana makosa. Kama wasivyo makosa watu wa nchi nyengine wanapoamini kwamba kila Mtanzania anayetua kwao amekwenda kuuza unga!
 
hata akina kaka,pato na robinho wapo timu ya taifa.
Tulia dawa ukuingie
 
Huyo katoa India bana SI Brazil acheni fix mjue kudanganya Ni dhambi
 
Sidhani kama mcheazji huyu ni mzuri sana ila anaweza kuwa ni wa muhimu sana kwa Yanga kwa vile kocha mkuu anamuanini na atakuwa anamuelewa kocha vizuri sana, yaani ni trainable material.

Zamani sana Yanga ikiwa haina hawa wachezaji na makocha wa nje ilikuwa inafanya vizuri sana, kwa mfano mwaka 1969 (samahani sana vijana wa kileo wakati huo hakukuwa na internet wala facebook) ilikuwa ni tishio sana kwenye mashindano ya ubingwa wa afrika, na ilipotolewa na Asante Kotoko ya Ghana wakati wa robo fainali ilikuwa ni kwa kurusha shilingi kwa vile mtindo wa penalti tano tano ulikuwa haujaanza wakati huo. Walifungana 1-1 hapo Dar na wakafungana tena 1-1 huko Kumasi ikabidi irushwe sarafu ndipo yanga ikakosa. Baada ya hapo ndipo Yanga ikawa na kocha wa kutoka Zaire (wakati huo) akiitwa Tambwe Leya ambaye naye aliinoa timu hiyo hadi Kuingia robo fainali za ubingwa wa Afrika. SIjui kama Yanga iliwahi kufika roboa fainali za ubingwa Afrika tena kuanzaia mwaka wa 1970.
 
mwenyewe anadai alicheza na neymar utotoni
Hahaha dah.. Kwahiyo hiyo ndio C.V yake sio?? Uyo kuku hana madhara kabisaa , yuko wapi mbrazil wa coastal union


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
View attachment 167482
Kiungo mpya mshambuliaji wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohammed Bhinda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam mchana wa leo, tayari kuanza kazi Jangwani
Wana mikwara hawa jamaa


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Teh teh teh Maximo bana kweli kizuri kula na nduguyo,,,kaamua kuja na uncle wake muuza matikiti São Paulo


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Je ana video yoyote angalau YOUTUBE tumuone? Sidhani. Ngoja tusubiri, nina uhakika Meximo anamjua, hivyo kwa kiwango chetu atatufaa tu.
 
kiungo mbrazil wa Yanga amewasili tayari habari zaidi zitafuatia

Kwa Akili Yako Tu Hivi Kweli Mchezaji Wa Kibrazil Mwenye Malengo Ya Kucheza Soka Anaweza Akaja Kucheza Soka Tanzania? Msitufanye Wajinga Na Tunajua Nini Kinaendelea Hapo Dimbwini Kwenu Kwa Ujio Wa Masikio Na Kutia Nyoo. Sasa Nimeyakumbuka Maneno Ya Gwatagang Jamhuri Kihwelo Aliposema Kuwa Wananchi Wa Brazil Wakiwa Wanataka Kutizama Kipindi Cha Comedy Basi Huwa Wanatizama Ligi Ya / Za Tanzania.
 
Back
Top Bottom