Hanalolote muuza nyago tu huyo.kiungo mbrazil wa Yanga amewasili tayari habari zaidi zitafuatia
Ameacha burudani za world cup,alafu anakuja kuswekwa jangwani,hatareee
Hanalolote muuza nyago tu huyo.
Hahahahaaaaaaa...na shuti lenyewe lililenga mashabiki sio goliWalianza na mkwara wa Jama Mba wa Cameroon, akaishia kupiga shuti moja (sio goli moja) langoni msimu mzima!
Walianza na mkwara wa Jama Mba wa Cameroon, akaishia kupiga shuti moja (sio goli moja) langoni msimu mzima!
Maximo amekuja kuharibu CV yake tu.
Timu yenyewe ndo hiyo Yanga
Ataharibu CV gani? Siasa ilimfanya aonekane bora si kingine.Maximo amekuja kuharibu CV yake tu.
Timu yenyewe ndo hiyo Yanga
View attachment 167482
Kiungo mpya mshambuliaji wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohammed Bhinda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam mchana wa leo, tayari kuanza kazi Jangwani