Kiungo gani katika mwili wa binadamu ' Maulana ' alitumia muda mrefu kukibuni na kukiumba?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Binafsi naona Viungo vyote katika mwili wangu vina umuhimu sawa hasa kutokana na uwepo wake ila nimedokezwa kwamba kumbe kuna ' Kiungo ' ambacho kilimlazimu ' Maulana ' kukesha kukifikiria, kuumiza kichwa chake kukibuni kisha hata katika ' mchakato ' wake mzima wa kukiumba alitumia muda mrefu mno na inasemekana pia hicho hicho ' Kiungo ' kilimtoa jasho japo mwishoni kilipokamilika nae pia alikifurahia kukiona kipo kwa Binadamu.

Je ni Kiungo gani hicho?

Karibuni.

Nawasilisha.
 
Kwa vile umemuusisha muumba sitacomment bila uhakika ngoja waje wenye kujua maandiko vizuri....

Nimetaka tu kukijua hicho ' Kiungo ' hayo yako mengine naona hayana maana. Kwani hata hivyo hicho ' Kiungo ' kimeumbwa na Shetani? Kama amekiumba mwenyewe ' Maulana ' kwa ' utashi ' wake kuna tatizo gani kukitaja na pengine hata kumshukuru? Kuna Watu mnajifanya ni Waumini wazuri na mna Imani kubwa kumbe ni ' Wanafiki ' watupu!
 
Binafsi naona Viungo vyote katika mwili wangu vina umuhimu sawa hasa kutokana na uwepo wake ila nimedokezwa kwamba kumbe kuna ' Kiungo ' ambacho kilimlazimu ' Maulana ' kukesha kukifikiria, kuumiza kichwa chake kukibuni kisha hata katika ' mchakato ' wake mzima wa kukiumba alitumia muda mrefu mno na inasemekana pia hicho hicho ' Kiungo ' kilimtoa jasho japo mwishoni kilipokamilika nae pia alikifurahia kukiona kipo kwa Binadamu.

Je ni Kiungo gani hicho?

Karibuni.

Nawasilisha.
Me naona ubongo maana ubongo ndo kila kitu na ndo maana ni kiungo cha mwisho kufa wakati unakata roho.
 
hivi u bongo ni kwenye kiungo.?

Kwa jinsi nilivyokuwa nikimjua huyo aliyeko katika ' Avatar ' yako alivyokuwa na IQ ndogo hasa pale alipokuwa ' Wadhifani ' miaka hiyo na hili swali lako la ' Kipuuzi ' uliloliuliza naona ni ' mule mule ' tu na pengine naanza kuhisi yawezekana ndiyo Wewe mhusika. Kwahiyo kama ' Ubongo ' siyo Kiungo ndani ya mwili wa Binadamu sasa kitakuwa ni nini?

Kazi ipo hakyanani!
 
Me naona ubongo maana ubongo ndo kila kitu na ndo maana ni kiungo cha mwisho kufa wakati unakata roho.

wa stendi kasema kwamba ' Ubongo ' siyo Kiungo sasa sijui ni nini. Yaani kuna Watu kweli nimeamini walienda Shuleni na Vyuoni kupoteza tu muda, kula na kushiba ila Vichwani mwao kumejaa maji machafu tupu.
 
Kwa jinsi nilivyokuwa nikimjua huyo aliyeko katika ' Avatar ' yako alivyokuwa na IQ ndogo hasa pale alipokuwa ' Wadhifani ' miaka hiyo na hili swali lako la ' Kipuuzi ' uliloliuliza naona ni ' mule mule ' tu na pengine naanza kuhisi yawezekana ndiyo Wewe mhusika. Kwahiyo kama ' Ubongo ' siyo Kiungo ndani ya mwili wa Binadamu sasa kitakuwa ni nini?

Kazi ipo hakyanani!
wala hujakosea wee mjuaji
 
Mh naona kabisa mwenye Uzi kunakitu anatamani kitajwe, Ila kiukweli kiungo cha ajabu kuliko vyote ni moyo

Nimependa sana ID yako inavyoitwa ' victor mboro ' Mkuu. Vipi hapo katika ID yako hakuna labda ' Kiungo ' chochote kilichobuniwa na kuumbwa nae Maulana?
 
wala hujakosea wee mjuaji

Kwahiyo mpaka umri wako huo ulionao unaokimbizana na Robert Mugabe hujui kuwa ' Ubongo ' nao ni Kiungo ndani ya mwili au mfumo mzima wa Mwanadamu? Kumbe huwa ninapowadharau baadhi yenu humu Jamvini kwakuwa na uwezo mdogo wa IQ sifanyi makosa na nipo sahihi tu.
 
Nimependa sana ID yako inavyoitwa ' victor mboro ' Mkuu. Vipi hapo katika ID yako hakuna labda ' Kiungo ' chochote kilichobuniwa na kuumbwa nae Maulana?
Hiyo jina ya pili ndo itakuwa jina ya kiungo unatafuta wewe hata hivyo sisi tunaweza kuona Mungu alifikiria sana lakini ana uwezo mkubwa sana.Kuna wakati ukianza kumtafakari Mungu hadi unaogopa.unawaza kwanini aliwaza kuweka kiungo hiki kitumike hivi.
 
Kwahiyo mpaka umri wako huo ulionao unaokimbizana na Robert Mugabe hujui kuwa ' Ubongo ' nao ni Kiungo ndani ya mwili au mfumo mzima wa Mwanadamu? Kumbe huwa ninapowadharau baadhi yenu humu Jamvini kwakuwa na uwezo mdogo wa IQ sifanyi makosa na nipo sahihi tu.
Endelea kukariri umri wa mtu kama wewe uliweka cv zako kamili wakati unajiunga humu huo ni uamuzi wako ila hapo mi nilijaza tuu sio lazma niweke kila kitu.
nashukuru kwa kunifundisha kuwa ubingo ni kiungo mi nilikuwa sijui hata barikiwa sana mjuaji
 
Back
Top Bottom