Mnyama kuwa hai maana yake moyo unafanya kazi na moyo unapopiga maanake damu inatembea (kuchuruzika). Kwa hiyo ukimchinja utaona damu.Nimekuwa nikijiuliza ukichinja mnyama mfano mbuzi utapata damu nyingi lakini mbuzi huyohyo akifa kibudu alafu ukamchinja huwezi kupata damu kwa nini?
damu si kimiminika kama vimiminika vingine so inakuwa wapiMnyama kuwa hai maana yake moyo unafanya kazi na moyo unapopiga maanake damu inatembea (kuchuruzika). Kwa hiyo ukimchinja utaona damu.
Lakini kilichokufa maanake moyo umesimama haudundi na damu haina pressure haiwezi kutembea (kuchuruzika)
Ina kosa pressure . Mfano chukulia pumb ya maji inapokufa utaona maji kwenye mabomba ?! Jibu ni hapana na moyo ndiyo pump kwa mnyama hai na ikisimama huwezi kuiona damudamu si kimiminika kama vimiminika vingine so inakuwa wapi
Sasa swali, hiyo damu inakuwa imeenda wapi??Ina kosa pressure . Mfano chukulia pumb ya maji inapokufa utaona maji kwenye mabomba ?! Jibu ni hapana na moyo ndiyo pump kwa mnyama hai na ikisimama huwezi kuiona damu
Sasa swali, hiyo damu inakuwa imeenda wapi??
wewe ndiyo nimekuelewa bora kudanganywaKuna watu wengine hupaswi kuwajibu maswali yao kitaalamu sana. Unatumia mbinu mdanganyo kuwaelewesha ili uendelee na mambo yako.
Huyu tumjibu hivi. Kabla hajafa, damu yote inarudi kwenye ini na kuganda, kisha mnyama hufa.
Karibu siku nyingine ukiwa na swali kama la mwenzetu huyu ili nikupe ufafanuzi.wewe ndiyo nimekuelewa bora kudanganywa
asante mkuuKaribu siku nyingine ukiwa na swali kama la mwenzetu huyu ili nikupe ufafanuzi.
Kati ya lita 4.5-5Hakuna majibu ya kitabibu.kwa mfano binadamu mtu mzima ana damu kiasi gani yaani ujazo ktk lita.