Kiukweli, what do we call this?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
560281_10150653069597373_608982372_9858905_1328636787_n.jpg Sina uhakika sana lakini to me huu ni ukichaa, period!
 
ukichaa huu na kuweka kichwa cha chatu mdomoni na kunako korodani upi afadhali?
 
ukichaa huu na kuweka kichwa cha chatu mdomoni na kunako korodani upi afadhali?
Anything that has to do with snakes is crazy...............even if the snake is dead
 
Hivi nyoka wanafaida gani kenge hawa?? sitakagi hata kuwaona au kuwazungumzia mana siku nzima ntawawaza..aarghh najuutaaa kufungua hili li seredi
 
Hivi nyoka wanafaida gani kenge hawa?? sitakagi hata kuwaona au kuwazungumzia mana siku nzima ntawawaza..aarghh najuutaaa kufungua hili li seredi

Waafrica bwana!!, kila kitu wanakihukumu as if wao ndo mizani ya kila kitu. Kwa upande wa wengine, chatu/ anakonda ni pet animal kama punda, mbwa na paka......... Punguzeni mapovu.
 
Hivi nyoka wanafaida gani kenge hawa?? sitakagi hata kuwaona au kuwazungumzia mana siku nzima ntawawaza..aarghh najuutaaa kufungua hili li seredi

Kama unaamini katika mungu basi itakubidi ukubali kuwa Nyoka nao ni kazi ya Mungu na kazi ya Mungu haina makosa.Na kama huamini katika Mungu itakubidi uamini kuwa Nyoka nao ni sehemu kubwa katika ulinganifu wa mfumo wa viumbe hai,sababu kama nyoka asingekuwepo, ni kiumbe gani angewala panya mijusi manguluwe pori na viumbe vyote ambavyo viko katika menu ya nyoka.Si ina maana viumbe hao wangezaliana na kuwa kero kwetu sisi.Kwa maana hiyo basi Nyoka ni kiumbe muhimu sana katika kubalance mfumo mzima wa Ecosystem hasa katika kukontroo idadi ya rodents ambao mara nyingi ni waharibifu wa mazao yetu mashambani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom