Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 553
Pole Swai charii ya RHabari aisee kiukweli mimi nimeishi na kubahatika kufanya kazi mkoa wa Arusha muda mrefu na nimezunguka mikoa mingine ila suala la mahusiano mabinti wa Arusha sio kama Dar wazushi na walaghai kiukweli Arusha mfano baadhi ya watoto wa Mbauda, Ngusero,Mpaka Sakina wapo straight sio wazushi yaan basi tu kwa sababu saivi nipo Dar mkoa ambao nilipanga kuishi muda wote Arusha hivyo changamoto niliyokutana nayo ndomana nipo Dar kwa sasa.Sijajua kwa upande wa wenzangu kwa upande wangu hawakunisumbua akipanga appointment jumamos au siku yoyote sio hapa Dar mtu anasema j2 ntakutafuta ikifika siku hiyo ratiba nyingi mara oooh nimepata dharura ilimradi akuzingue. Nachokumbuka kuna mdada nilimpata suala la dini lakini mahusiano hayakudumu alikataa kubadili dini awe mkristo na mimi nilikataa mwisho wa siku akapata muislamu akamuoa big up A city.
Leo umeongea mwambaArusha ni mji fulan hv wa kitasha Sana , ukiwa na pesa mingi ndo mji wa kuchil hapa bongo , weather na recreation ground zipo nyingi Sana , tatizo wale madogo wavuta bangi wanautia doa Sana
Hujui usemalo
Pia nilibahatika kupata wenzetu wa Tabora na Mwanza ila tunawasiliana ila sio mapenzi tena sababu kashakua mama fulani alikua x wangu kisa dini lakini alikua anapika na kunipakulia tulikaa hapo Ngusero.Mangi ulifukuzia warangi bila shaka...
Toto za mbauda ngalelo wengi ni warangi
Asante mkuuPole Swai charii ya R
Yamekukuta mzee mwenzangu
Vuta subira uko mjini boss
Eeeh aisee ni kweli.Kitu nachowapendea mademu wa chuga wakipenda huwa wanapenda kiukweli tatizo ukiwazingua hawanaga kujiuliza wapo straight
Pia nilibahatika kupata wenzetu wa Tabora na Mwanza tulikutana hapo Chuga ila tunawasiliana sio mapenzi tena sababu kashakua mama fulani alikua x wangu kisa dini lakini alikua anapika na kunipakulia tulikaa hapo Ngusero.
Pia kwenye mapenzi yao wapo tayari mtu afe wakihisi kuna mtu anawaibia wana roho ngumu sana.Eeeh aisee ni kweli.
Nilijua tu wewe upo pande hizo nimeufwatilia sana mwandiko wako. Big up sana.Sisi tupo straight kabisa kiongozi kweli kama hatutaki hatukutaki kama tukikutaka tunakutaka basi ukizingua sepa unasepa nikikuamulia kukufumua tunakufumua shida ipo wapi
Big UpSisi tupo straight kabisa kiongozi kweli kama hatutaki hatukutaki kama tukikutaka tunakutaka basi ukizingua sepa unasepa nikikuamulia kukufumua tunakufumua shida ipo wapi