Hee, tupo kwenye maombolezo ya kifo cha Samweli Sitta mkuu. Hii ungedubiri kidogo tumalize msiba. Hivi hsta kama ufisadi haupo chadema wangeendelea kupiga kelele kuhudu ufisadi? Mf km Msgu akifanikiwa kudhibiti ufissdi basi chsdema walazimike kuendelea kiimba ufisadi ufisadi! Halafu ulichokisems sio kipya, ndcho kinazungumzwa tangu Lowsss ajiunge chadema. Hivyo sioni jipya hapo.Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Huitaji hata cheti cha darasa la 7, kumpa ushauri lugumi, juu ya njia rahisi na nyepesi ya kujisafisha ktk jamii ya watanzania kutokana na tuhuma zinazomuangukia, bila kujali kama ni kweli, au la....Chadema ni chama kinachoongoza kwa unafiki duniani.
Usishangae Lugumi akawa mgombea wa chadema 2020
Muhimili wa kudai haki ni mahakamani,mwenye ushahidi na ufusadi wake akamfungulie shauri katika mahakama ya mafisadiSema wewe maana tukisema sisi inaonekana tuna bifu naye. Kwa hakika CHADEMA wamenasa pabaya!
Kiukweli, wanachadema, zaidi kwa sasa wanakuwa ndio nguzo, na kielelezo cha miujiza kwenye siasa za zama hizi ktk eneo hili la mama Afrika, ambao wenye kubabaishwa, kughilibiwa, na kulaghaiwa, wanachagua kukubali kuwa wanaojulikana kuwa ni wenye kuwababaisha, kuwaghilibu, na kuwalaghai, waendelee na ubabaishaji, ghilba na laghai zao( ndani ya chama chao)...!Mimi binafsi naona kimebaki kuwa chama cha viongozi wanaojilia pesa zao, kwa raha zao bila kujali wananchi au wanachama wao.
Chadema mvuto hakuna kabisa, kama kabla ya uchaguzi.
Hata nani awe humo hasiwepo sasa hivi ni sawa tu, wafuasi wasubiri uongo mwingine washikilie bango wao wale.
Ukielewa maana ya ufisadi unaweza kujikuta nawe ni fisadi ktk area fulani.Kinyume cha ufisadi ni "kiasi" kwa maana nyingine ufisadi ni ulevi hata wa pombe au ngono.Tufike mahali tuwe specific mwizi aitwe mwizi na siyo "panyaroad"Muulize mjinga ufisadi na asiye fisadi mtakatifu sana m/kiti wetu wa 10b.
Lugumi ni nani?Chadema ni chama kinachoongoza kwa unafiki duniani.
Usishangae Lugumi akawa mgombea wa chadema 2020
Endeleeni kushabikia tu, hakuna anayewazuia. Na bei ya umeme inapanda huku mkishabikia. Yawezekana sababu ya kupanda kwa bei ya umeme ni ufisadi wa Escrow, lakini sina hakika kama Lowassa alihusika nao kiasi gani. Huyo mpambana na mafisadi mnayemwimbia mapambia ameshatangaza hadharani kuwa mafisadi wengine hatawagusa kwa sababu akiwagusa moto utakaowaka hataweza kuuzima.Hii ndiyo maana ya kuogopa kufukua makaburi kwa hofu ya kushindwa kuyafukia.ni kweli sisi tuliomshabikia Magufuli hatukumshabikia kwa sababu tunaipenda ccm bali sababu kubwa ni chadema kuwasaliti watanzania na kuwaona kama watu wasio na akili, mageuzi ya ukweli yanaletwa na watu ambao hawakuwahi kuwemo kwenye mfumo wa ulaji wa ccm ndio maana magufuli amesema wazi hawezi kufukua makaburi hivyo chadema walifanya kosa kubwa kutuaminisha walewale wapiga dili,wapinga katiba ndio wanaweza kutuletea mabadiliko
Mkuu, pamoja na kwamba hata mimi sina chama kama wewe, lakini kitendo cha watu kuendelea kumsema Lowasa sio tu kwamba kinaendelea kumpa hadhi ambayo huenda hana, lakini kinasababisha watu wasiokuwa na mlengo wa kisiasa kama mimi na wewe tubaki kujiuliza kuwa huyu mtu ana nini hadi asakamwe hivyo, mpona kuna watu wegi sana wameondoka kwenye vyama vyao lakini kwa kuwa hawatajwi, wameiha sahaaulika ? Huyu mtu kaondoka na nini hadi afuatwe fuatwe hivyo ?Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
kuhusu umeme mwulizeni huyo richrd monduliEndeleeni kushabikia tu, hakuna anayewazuia. Na bei ya umeme inapanda huku mkishabikia. Yawezekana sababu ya kupanda kwa bei ya umeme ni ufisadi wa Escrow, lakini sina hakika kama Lowassa alihusika nao kiasi gani. Huyo mpambana na mafisadi mnayemwimbia mapambia ameshatangaza hadharani kuwa mafisadi wengine hatawagusa kwa sababu akiwagusa moto utakaowaka hataweza kuuzima.Hii ndiyo maana ya kuogopa kufukua makaburi kwa hofu ya kushindwa kuyafukia.
Magufuli ambaye mlimshabikia kwani yeye hakuwa sehemu ya mfumo huo wa kifisadi?
Mtu alikuwa ndani ya mfumo, na bado yumo humo. Si yeye na ninyi mlituaminisha kuwa ataubadili mfumo? Sasa ndio keshaanza kuugwaya mfumo sasa. Mwisho wake ni upi?
Mpaka hapo Lowassa akipelekwa mahakamani ndipo nitaamini kwamba alikuwa fisadi la sivyo, nitaendelea kuamini ufisadi ni mfumo ndani ya CCM.Hongera kwa kusema ukweli kijana wangu. Najua utatukanwa lakini,umeongea ukweli mtupu. Kwa sasa wamebaki na hoja moja tu...eti mtu akifa wanasema 'kafa sababu alimsema Lowassa'...ndio hivyo tena toka siasa za hoja hadi siasa za ramli. Kuelekea uchaguzi mkuu 2010 walitangazia umma kuwa chadema haitasimamisha Wagombea kumpinga Sitta,Mwakyembe,Olesendeka kwa jinsi walivyosimamia ufisadi serikalini lakini eti sasa wamekuwa maadui wao...wanasema eti ripoti ya Richmond ilikuwa ni uongo.
Wewe bado uko na Richmnd tu? Umesahau kesi ambayo TANESCO imeshindwa majuzi ni ya ESCROW na wahusika ndio hao wanaongoza Wizara ya Nishati kama zamani tu? Hilo deni ndilo linatutafuna sasa. Tunatakiwa tulilipe. Waliokula hiyo pesa tunayotakiwa kulipa wanajulikana lakini mzee wa boma amesema ni hatari sana kuwadai hao watu.kuhusu umeme mwulizeni huyo richrd monduli