Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Sijalipwa Mkuu. Kwani kuna mgao mahali?Na wewe umelipwa 10m ?
Sidhani kama CHADEMA inateseka kama ccm inavyoteseka. Ccm ndo wapo katika mateso makali kwasababu ya Lowassa Factor. Ndo maana wamewabana sana CHADEMA na Lowassa wasifanye chochote kisiasa. Kwani nini hasa kinawazuia CHADEMA kuzungumzia au kukemea ufisadi? Vinginevyo ni wazi kwamba hata wakati CHADEMA inamzungumzia Lowassa kama fisadi hawakuwa na uhakika wala ushahidi na ufisadi wake isipokuwa kutafuta kiki tu. Na kama Lowassa ni fisadi kweli kwanini hashughulikiwi na mamlaka zinazohusika ipasavyo?Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Kwani Lugumi ana shida gani? Kama fisadi kwanini hachukuliwi hatua?Chadema ni chama kinachoongoza kwa unafiki duniani.
Usishangae Lugumi akawa mgombea wa chadema 2020
Umeelewa Mkuu. Hongera!Sidhani kama CHADEMA inateseka kama ccm inavyoteseka. Ccm ndo wapo katika mateso makali kwasababu ya Lowassa Factor. Ndo maana wamewabana sana CHADEMA na Lowassa wasifanye chochote kisiasa. Kwani nini hasa kinawazuia CHADEMA kuzungumzia au kukemea ufisadi? Vinginevyo ni wazi kwamba hata wakati CHADEMA inamzungumzia Lowassa kama fisadi hawakuwa na uhakika wala ushahidi na ufisadi wake isipokuwa kutafuta kiki tu. Na kama Lowassa ni fisadi kweli kwanini hashughulikiwi na mamlaka zinazohusika ipasavyo?
Chadema juzi tu wamesema kuhusu rushwa ya ccm hatuoni hatua yoyote inayochukuliwa. Au sijaelewa ulichotaka kusema Mkuu Mselewa?
Sasa mnamtukana ili Iweje??Kwani Lugumi ana shida gani? Kama fisadi kwanini hachukuliwi hatua?
Hiyo statement naifananisha na Taarifa aliyo itoa Gavana kuhusu mwenendo wa uchumi, imekaa kimapenzi zaidi na siyo kiuharisiaChadema ni chama kinachoongoza kwa unafiki duniani.
Usishangae Lugumi akawa mgombea wa chadema 2020
Ufisadi ni nini? Tupe tafsiri maana kuna "mambo ya nyakati" na huenda nyakati hizo zimepitaMsema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Umeandika mengi lakini hukusema ufisadi wake ni nini????..Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
BUNGENI: Serikali yaitaka sekta binafsi kuwekeza katika kinywaji aina Gongo ili kurasimisha kinywaji hicho na kiwe salama kwa matumizi.Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Sijalipwa Mkuu. Kwani kuna mgao mahali?
Suluhisho ni kuachana naye tu. hakuna namnaUme analyze problem without giving Answers.
Yaani, ni sawa na mtu anayelalamika hovyo hovyo.
Wewe, unashauri nini sasa baada ya maoni yako hayo? Nini kifanyike?
Ukitoa majibu kuliko kulalamika utakuwa unasaidia chama, otherwise utakuwa MNAFIKI tu.