Kiukweli dunia ni ya wachache

Unfair distribution of resources chanzo chake ni ubinafsi wa watu wachache wanakula na watoto wao tu.
Nimelazimika kuijibu hii coment yako.
Our world has abundant resources, so no one can glab and hide them all. Kuna maeneo mengi sana hao wabinafsi hawajafika.
Wanachoiba hapa TZ labda 1/100.
Nikweli hatufanikiwi, hatupaswi kuwalaumu wengine bali kuangalia mbadala.
Wezi Africa hawataisha, hili ni lango la wezi tangu karne nyingi ila hawajawahi kuzimaliza resources zote hapa Africa.
Sisi tunakosa elimu yenye maarifa hivyo tuopiganie hio.
Mfano kilimo anachokifanya kinaweza kisiwe chenye maarifa.
 
Inabidi ubadili mtazamo na uhalisia wako ili uwe kati ya hao wachache mkuu.
Vitu vingi tulivyoviamini kama shule imegeuka utapeli siku hizi.
 
Vigogo wanakula na watoto wao. Au na wewe ni mtoto wa kigogo ndio maana unawatetea??
 
Vigogo wanakula na watoto wao. Au na wewe ni mtoto wa kigogo ndio maana unawatetea??
Kachukue basi wanachokula. Ukilalamika humu utazuia nini zaidi ya kujifariji.
Hata wewe unaweza kuwa kigogo.
Ni muflisi kuamini riziki yako inazuiwa na binadamu mwingine.
Vitabu vimetuasa amtegemea binadamu amelaniwa.
Hao unaowaona ni vigogo nao wanamatatizo yao kibao.
Vuka hatua ya kulaumu wengine nenda kwenye hatua ya self esteem. Jiangalia wewe kama wewe nafasi yako na nature.
How nature support you sio mtu fulani ambaye naye anategemea nature.
 
Hauwezi pambana hivyo ukiweka na ubahili ukaacha kutoboa , labda tatzo lako lilikua ni chupi mkuu.
 
kuhusu magendo huko ndo pake, hela ipo ila huwe na roho, watoto wadogo tu wana lori za kutosha.Huko nshatokaga toka 2020
Ndio changamoto inaonekana uwe mjuaji sana huko ndo utoboe...hilo la vijana wadogo kumiliki biashara za usafiri na usafirishaji kwa kiwango kikubwa nalisikia sana
 
Usiwaze kamanda, kuna wako kwenye system Wana Hali mbaya kiuchumi nafuu wewe.Lima+ Biashara maisha yasonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…