Kiukweli dunia ni ya wachache

World has become a 'champagne glass' , globalization will fill it fuller for wealthy few.
 
Level ya umaskin wa ukoo wenu ni ipi ebu nipe picha
Ni kubwa kaka.. ni ya wazazi (wa kiume) waliowekeza ulevi.. nilipambana kwa pesa ya kujikimu (boom) nikawajengea pa kuishi angalau pasipovuja... Nikajisahau mwenyewe.... Nikapambana kuwabadili wawe wachapa kaz za shamba,, angalau kwa sasa wanajiinua kidogo... ni wakulima wa kahawa..mfumo wa mauzo pia kikwazo kwa mwenye kipato kidogo.. hali tete..ila sijawa mvivu,,, nikasaka ajira private schools.. mwaka jana nikapata ajali pindi tunaenda kusimamia mitihani darasa la 7...kila njia ikajifunga kuanzia hapo
 
1. Maisha yanahitaji utulivu, Subira, kisha uzoefu.
2. Kama hujayazoea Maisha tafsiri yake Maisha nayo hayajakuzoea.
"Practice makes perfect"
Ukirukia rukia matawi kamwe Maisha hayatakuzoea na hautakuwa na uzoefu.

3. Hata Huko Alshababy sijui Boko Haramu kuna hitaji mambo yaleyale, utulivu, subira kisha uzoefu.
 
Thanks
 
Kila kutu unachokiona dunia hii ni siri! Na ukiiijua siri hakika wewe utakuwa ni mmoja wa hao unaowasema hawatumi akili wala nguvu nyingi lakini mambo yanawaendea sawa.
 
Kila kutu unachokiona dunia hii ni siri! Na ukiiijua siri hakika wewe utakuwa ni mmoja wa hao unaowasema hawatumi akili wala nguvu nyingi lakini mambo yanawaendea sawa.
Niite kaka nipe misingi nami nizijue hizo siri.. swear to be honest..
 
Hayupo.. ..
Level ya umaskin wa ukoo wenu ni ipi ebu nipe picha
Kuna shida pahali huo umaskini sio wako ni wa ukoo wako, maadam ukiona unatoa bila kupokea jua kuna pahala pana shida, Haezekan ukoo wa watu 30+ wote maskini level ya chini haezekani
 
That is fact..napambana nitoke kwenye hilo box...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…