Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
Mkuu mambo ya team hayo,yaani hapo unashambuliwa na team diamond,ushaabiki wa mziki wa leo pumba kabisa,yaani wanaleta u team,defensive hadi kwenye genuine criticismKwahiyo? Umeelewa mantiki ya uzi wangu lakini?
Msami alikuwa anacheza tu zamani kisha ndo akawa anaimba so anapumzi ya kutosha jamaaMsami baby kwa Tz ndio kiboko yao! Ana perform huku anaimba
ok next time unataka nani mzitona mweusi aende? sio kulalama tu toa solutionJana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.
Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.
Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
Kweli tofaut mwanamuziki huwa ni kipaji na msanii huwa ni jitiada japo kwa dunia ya sasa jitiada ndio inayoitajika unaweza ukawa na kipaji ukawaboya sio tu kwenye mziki hata kwenye mambo mengine kwa mfano mpira wa miguu kuna watu kama lampad, roony, cr 7, hao wote ni jitiada zao bila kuna wakina Nani, balotel, Hinyi ni vipaj ila ovyo kabisaTupe tofauti hiyo mkuu(usiniambie ni Google)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakija team yake mapovu yatatokaJana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.
Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.
Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
Yeah... Aangalie wakali wa steji Kama kina Fally ipupa...Sija angalia show yake, ila nnacho jua diamond ni performer sasa ukiwa perfomer halafu ukaweza na kuimba ni wachche sana wame fanikiwa, na hasa aliye kuwa mtaalam ni Michael Jackson.
Ila hata kina chris brown siku wana perform huwa hawako vzuri sana kwenye kuimba kwa kuwa ni kaz kweli kweli.
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, na imani ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
Tutajie hao wanamuziki wa Tanzania halafu tupime mafanikio yao na msanii DiamondDiamond ni Msanii. Kuna tofauti kati ya Mwanamuziki na Msanii.
Nilitaka Kutochangia Chochote, Ila Hii Comment Yako Imenifanya Nikomenti Kidogo.Nani anaweza kukimbia uku akiongea? Kama unaweza kukimbia na kuongea wakati mmoja,utakua sahihi kumkosoa Diamond.
Itabid tumuite amfundisheYeah... Aangalie wakali wa steji Kama kina Fally ipupa...
Anaweza akaibaiba maujuzi..
Mtafute msami hutajutia Mb zakoHuyo msami simjui ntamfuatilia
Lakin wasanii wengi wao hufanya
lip syncing kama wanaperform.
Yaani hiyo ipo Marekan hadi China
95% ya wasanii kuimba live na kucheza ni tabu kwao
Michael Jackson huyu mtu sijawahi ona duniani na kuja kutokea kama yeye sijui ni lini sijaonaSija angalia show yake, ila nnacho jua diamond ni performer sasa ukiwa perfomer halafu ukaweza na kuimba ni wachche sana wame fanikiwa, na hasa aliye kuwa mtaalam ni Michael Jackson.
Ila hata kina chris brown siku wana perform huwa hawako vzuri sana kwenye kuimba kwa kuwa ni kaz kweli kweli.
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, na imani ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
HahahaMichael Jackson huyu mtu sijawahi ona duniani na kuja kutokea kama yeye sijui ni lini sijaona
Sio kila mtu anayekosoa ana chuki sometimes wanampenda na wanataka ajirekebisha mtu usiyekubali ushauri wala kukosolewa ni tatizo ndio maana unaona Tanzania kwa sasa tunatatizo ni kwa sababu jamaa ukimkosoa unakoma.Angalau aliitwa!wewe lini tuone ulivyo gado?