Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,348
- 26,145
Mimi si mwanamuziki MkuuAngalau aliitwa!wewe lini tuone ulivyo gado?
Anapaswa kujitahidi kucheza na kuimba kwa kiwango kinachokaribianaSija angalia show yake, ila nnacho jua diamond ni performer sasa ukiwa perfomer halafu ukaweza na kuimba ni wachche sana wame fanikiwa, na hasa aliye kuwa mtaalam ni Michael Jackson.
Ila hata kina chris brown siku wana perform huwa hawako vzuri sana kwenye kuimba kwa kuwa ni kaz kweli kweli.
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, naimnai ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
Umenielewa Mkuu. Asante sana!CD ilikuwa ikisikika sana
Safi Sana mtu makini weweJana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.
Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.
Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
Msami baby kwa Tz ndio kiboko yao! Ana perform huku anaimbaSija angalia show yake, ila nnacho jua diamond ni performer sasa ukiwa perfomer halafu ukaweza na kuimba ni wachche sana wame fanikiwa, na hasa aliye kuwa mtaalam ni Michael Jackson.
Ila hata kina chris brown siku wana perform huwa hawako vzuri sana kwenye kuimba kwa kuwa ni kaz kweli kweli.
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, na imani ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
Hata hivo sku hizi ka improve zamani ilikuwa worse.Anapaswa kujitahidi kucheza na kuimba kwa kiwango kinachokaribiana
Mimi sikuandika kwa nia ya kupambana na yeyoteMzee Utaweza Vumilia Makombora ya Team Simba?
Huyo msami simjui ntamfuatiliaMsami baby kwa Tz ndio kiboko yao! Ana perform huku anaimba
Ipi Mkuu?Petero una shida wewe
Tatizo Hizo Team Hawataki Kusikia kitu Negative Chochote Kutoka kwa Mataita wao,kwahiyo utachukuliwa ni Hater.Mimi sikuandika kwa nia ya kupambana na yeyote