Kiukweli, 'barua' ya Katibu wa Bunge kwa familia ya Lissu yaweza kupindua matokeo mapema sana. Spika Ndugai 'haijui' barua hiyo?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,201
25,522
Nawiwa kukiri kufahamu kuwa jana limetolewa tangazo Bungeni kuwa Ubunge wa Tundu Antipas Lissu wa Singida Mashariki umekoma na jimbo lake liko wazi. Nimefahamu haya hapahapa JF kupitia bandiko la kaka na mtani wangu Pascal Mayalla.

Nimesoma na kusikia tangazo la Spika ambalo hasa limejikita kwenye mambo mawili: utoro wa Lissu Bungeni ( kutojulikana alipo na anachofanya) pamoja na kutojaza Fomu za Maadili ya Viongozi. Hayo ni mambo ya kisheria na kiutaratibu.

Niweke wazi kabisa hapa kuwa mimi ni muumini wa utii wa sheria na taratibu zilizowekwa. Kila Taasisi na jumuiya ya watu huwa na sheria na taratibu za kufuata, Bunge halikadhalika. Kufuata sheria na taratibu huponya,huepusha na kulinda. Kutofuata hutisha,huathiri na kuadhibu. Aliyoyasema Spika ni masuala ya kisheria na kiutaratibu.

Mkuu BAK amepandisha uzi wenye majibu ya Lissu kwa jambo lililojitokeza jana. Alikuwa akizungumza na BBC. Nimevutiwa na kupata mambo mawili. Mosi, Lissu analenga kufungua shauri Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga uamuzi wa kukoma kwa Ubunge wake na jimbo lake kuwa wazi kwa sababu zilizotajwa. Pili, Lissu amesema kuwa kuna mawasiliano ya barua kati ya Ofisi ya Katibu wa Bunge na familia yake kuhusu maendeleo yake kiafya.

Barua husika aliandikiwa kaka wa Lissu, kwa niaba ya familia na Lissu mwenyewe. Ni Wakili Msomi Mwandamizi Alute Mughwai ndiye kaka wa Lissu. Kuandikiana barua humaanisha kufahamika mahali wahusika wa barua hizo walipo. Na kujua na kinachozungumziwa. Hakika,ni barua muhimu.

Kwangu binafsi, sababu ya utoro na kutojulikana alipo Lissu ni kuu kuliko iliyobaki. Ni kwakuwa inayofuata huweza kumalizwa nguvu na uamuzi juu ya hiyo. Yaani, ikithibitika kuwa Bunge lilijua lipokuwepo Lissu na alichokuwa akikifanya, ujazaji wa fomu za maadili unazungumzika. Kama alikuwa mgonjwa,angejazaje?(kwa mfano).

Ndiyo maana nasema kuwa kama kweli kulikuwa na barua kutoka Ofisi ya Katibu wa Bunge maana ya haraka ni kuwa Bunge lilifahamu alipokuwa Lissu na alichokuwa akikifanya. Kama barua hiyo ipo, Spika alipaswa kujua kabla ya tangazo lake.

Naamini, 'barua' ya Katibu wa Bunge kwa familia ya Lissu inaweza kupindua matokeo mapema sana baada tu ya mechi kuanzia kuchezwa Mahakama Kuu ya Tanzania. Tusubiri tuone!
 
Nawiwa kukiri kufahamu kuwa jana limetolewa tangazo Bungeni kuwa Ubunge wa Tundu Antipas Lissu wa Singida Mashariki umekoma na jumbo lake liko wazi. Nimefahamu haya hapahapa JF kupitia bandiko la kaka na mtani wangu Pascal Mayalla.

Niweke wazi kabisa hapa kuwa mimi ni muumini wa utii wa sheria na taratibu zilizowekwa. Kila Taasisi na jumuiya ya watu huwa na sheria na taratibu za kufuta, Bunge halikadhalika. Kufuata sheria na taratibu huponya,huepusha na kulinda. Kutofuata hutisha,huathiri na kuadhibu. Aliyoyasema Spika ni masuala ya kisheria na kiutaratibu.

Mkuu BAK amepandisha uzi wenye majibu ya Lissu kwa jambo lililojitokeza jana. Alikuwa akizungumza na BBC. Nimevutiwa na kupata mambo mawili. Mosi, Lissu analenga kufungua shauri Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga uamuzi wa kukoma kwa Ubunge wake na jumbo lake kuwa wazi kwa sababu zilizotajwa. Pili, Lissu amesema kuwa kuna mawasiliano ya barua kati ya Ofisi ya Katibu wa Bunge na familia yake kuhusu maendeleo yake kiafya.

Hii ni Afrika na watu wana nguvu kuliko taasisi/mahakama. Usishangae ikatoka amri toka juu kwamba hiyo kesi iendeshwe mpaka jiwe anapotoka madarakani awamu yake ya pili. Kama huamini watu wana nguvu kuliko taasisi angalia sheria nyingi zilizotungwa awamu hii ya jiwe, nguvu zinatolewa kwenye taasisi na kupewa mtu (msajili), yeye ndio anaamua kila kitu! Na hapa kwetu Jaji mkuu ndio huyo hana meno.
 
Mgonjwa kujaza, huyu ambaye kila siku yuko kumkashfu JPM ashindwe kufuata taratibu. Ugonjwa huo una masharti ya mganga wa kienyeji

Are you Sure. Wapi na nini kimekupa ishara Jiwe anahusika. Toa mifano hapa miwili tu. Wala sio mingi.
Hii ni Afrika na watu wana nguvu kuliko taasisi/mahakama. Usishangae ikatoka amri toka juu kwamba hiyo kesi iendeshwe mpaka jiwe anapotoka madarakani awamu yake ya pili. Kama huamini watu wana nguvu kuliko taasisi angalia sheria nyingi zilizotungwa awamu hii ya jiwe, nguvu zinatolewa kwenye taasisi na kupewa mtu (msajili), yeye ndio anaamua kila kitu! Na hapa kwetu Jaji mkuu ndio huyo hana meno.
 
Lipi jema kwenu?, basi asifungue shauri sasa, ujinga na uzwazwa mlionao ni kwamba mkishindwa Jambo lolote mahakamani hua mnadai ni maagizo toka juu, mkishinda haki imetendeka ,"pathetic "
Unakumbuka kesi za Mbowe na Lema jinsi majaji walivyoshangaa wao kutopewa dhamana/kufutiwa dhamana?

Acha kuwa na akiliza za kijinga kisa unafaidika na huu utawala.
 
Are you Sure. Wapi na nini kimekupa ishara Jiwe anahusika. Toa mifano hapa miwili tu. Wala sio mingi.

Mifano ni hiyo ndani ya awamu hii kutunga sheria zinazonyang'ang'a nguvu ya mahakama na kumpa mtu( msajili). Mifano hii tunaiona katika sheria ya vyama vya siasa na sasa azaki za kiraia. Tabia hizi ni za jiwe, ili iwe rahisi kuwatumia hao wasajili kutii matakwa yake kwani ni rahisi zaidi kumtumia mtu kuliko taasisi kwani inapitia mchakato.
 
Nawiwa kukiri kufahamu kuwa jana limetolewa tangazo Bungeni kuwa Ubunge wa Tundu Antipas Lissu wa Singida Mashariki umekoma na jumbo lake liko wazi. Nimefahamu haya hapahapa JF kupitia bandiko la kaka na mtani wangu Pascal Mayalla.

Nimesoma na kusikia tangazo la Spika ambalo hasa limejikita kwenye mambo mawili: utoro wa Lissu Bungeni ( kutojulikana alipo na anachofanya) pamoja na kutojaza Fomu za Maadili ya Viongozi. Hayo ni mambo ya kisheria na kiutaratibu.

Niweke wazi kabisa hapa kuwa mimi ni muumini wa utii wa sheria na taratibu zilizowekwa. Kila Taasisi na jumuiya ya watu huwa na sheria na taratibu za kufuata, Bunge halikadhalika. Kufuata sheria na taratibu huponya,huepusha na kulinda. Kutofuata hutisha,huathiri na kuadhibu. Aliyoyasema Spika ni masuala ya kisheria na kiutaratibu.

Mkuu BAK amepandisha uzi wenye majibu ya Lissu kwa jambo lililojitokeza jana. Alikuwa akizungumza na BBC. Nimevutiwa na kupata mambo mawili. Mosi, Lissu analenga kufungua shauri Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga uamuzi wa kukoma kwa Ubunge wake na jimbo lake kuwa wazi kwa sababu zilizotajwa. Pili, Lissu amesema kuwa kuna mawasiliano ya barua kati ya Ofisi ya Katibu wa Bunge na familia yake kuhusu maendeleo yake kiafya.

Barua husika aliandikiwa kaka wa Lissu, kwa niaba ya familia na Lissu mwenyewe. Ni Wakili Msomi Mwandamizi Alute Mughwai ndiye kaka wa Lissu. Kuandikiana barua humaanisha kufahamika mahali wahusika wa barua hizo walipo. Na kujua na kinachozungumziwa. Hakika,ni barua muhimu.

Kwangu binafsi, sababu ya utoro na kutojulikana alipo Lissu ni kuu kuliko iliyobaki. Ni kwakuwa inayofuata huweza kumalizwa nguvu na uamuzi juu ya hiyo. Yaani, ikithibitika kuwa Bunge lilijua lipokuwepo Lissu na alichokuwa akikifanya, ujazaji wa fomu za maadili unazungumzika. Kama alikuwa mgonjwa,angejazaje?(kwa mfano).

Ndiyo maana nasema kuwa kama kweli kulikuwa na barua kutoka Ofisi ya Katibu wa Bunge maana ya haraka ni kuwa Bunge lilifahamu alipokuwa Lissu na alichokuwa akikifanya. Kama barua hiyo ipo, Spika alipaswa kujua kabla ya tangazo lake.

Naamini, 'barua' ya Katibu wa Bunge kwa familia ya Lissu inaweza kupindua matokeo mapema sana baada tu ya mechi kuanzia kuchezwa Mahakama Kuu ya Tanzania. Tusubiri tuone!
Speaker anajichanganya sana kwenye hoja zake, anaenda mbele na kurudi nyuma wakati huo huo. Wakati wa suala la Lissu kuzuiwa malipo yake pale nafikiri ufumbuzi wa wapi alipo Lissu ulitakiwa upatikane.

Cha kushangaza Malipo yalilipwa(?). Leo anaibuka anadai hajui alipo kimaandishi.
 
Yani awamu hii kila kona ni mtafaruku viongozi kusemana vibaya,majungu,fitina,kujipendekeza, ukatili.

ndugai vs makonda.
majaliwa vs makonda.
nape vs makonda.
magu vs lisu.
magu vs membe.
musiba vs makamba

mda si mrefu itakuwa Magu vs Magu.

mpaka ifike 2025 huyuu jamaa atakuwa ameshaharibu hii inchi sanaaaaa, yote hayaa yeye ndio chanzo.
 
Back
Top Bottom