haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,485
- 3,562
Mtazamo wangu ni kua ingefaa wanaume ndio wawe wanatongozwa na kuombwa kuingia kwenye mahusiano na wanawake, regardless kama mwanaume ni handsome au la. Kwa maana
-wanaume ni wachache
-wanaume ndio wanachakalika na kuhudumia familia
- wanaume hutoa jibu haraka
kama ni hivyo, kwanini sasa wao wasiwe ndi wanatongozwa ie kuombwa?
Natamani experiece ninayoipata waipate wengine, kitendo cha kutongozwa unakua unajiamii na hubabashi hata kidogo mana wako wengi wanaokutaka.