Kiuhalisia Magufuli anaiumbua CCM ila anashindwa kutamka wazi

Sio dhambi, ila lazima ukiri kwa kinywa chako makosa yako.
Mwambie huyo awambie hao wazee wa NDIYOOOO, wakili na kutubu tufungue ukurasa mpya, siyo kujaribu kuhamishia makosa yao kwa watu wengine. Wakiambiwa akili ndogo wanabisha, sasa MTU mzima unamuona anazunguka weee kutoa maelezo kujaribu kuhamisha makosa, huyo unamuona ni akili ndogo tu.
 
CCM walikosea na sasa wanatubu na wanajirekebisha. Kosa lipo wapi mbona kila kukicha wewe na marafiki zako akina Salary Slip et. al. mnakazana na maandiko. Tuanze kufikiria kwenda mbele baadala ya kuhangaika na historia na mihemuko ya CDM na CCM tumewachoka sasa
Kosa lao ni kujaribu kuhamishia hayo makosa yao kwa wengine badala ya kutubu. Wewe unaelewa kwamba CCM walikosea lakini wao hawataki kukubali, wasaidie wajitambue mkuu.
 
Matumizi ya ruzuku ni kujenga ofisi kubwa
Na yale magari ya M4C yababebewa nyasi za kulishia ng'ombe,mengine yameshabinafsishwa,sasa tungewapa dhamana ya kutuongoza ingelikuwaje? mungewaita wajerumani waje kuchukua koloni lao.
 
Kosa lao ni kujaribu kuhamishia hayo makosa yao kwa wengine badala ya kutubu. Wewe unaelewa kwamba CCM walikosea lakini wao hawataki kukubali, wasaidie wajitambue mkuu.
Mkubwa akikosea..... Unataka nini angalia kinana alivyokubali kiutu uzima na tufunge mjadala huu.
 
CCM wangelitambua kama haya yangetokea nawaambieni pele Dodoma wasingelithubutu kupitisha jina la JPM. kazi wanayo, hakuna cha mstaafu, hakuna cha mkongwe - kama ulihusika lazima fagio la chuma lipite. Sisi tunacheki hili muvi kali jinsi linavyoanza.

Naona Mzee wa Vijicent, Mzee wa kukwepa mishare mingi - Ukichomokamo na hapa aisee we ni nouma mbaya.
 
CCM walikosea na sasa wanatubu na wanajirekebisha. Kosa lipo wapi mbona kila kukicha wewe na marafiki zako akina Salary Slip et. al. mnakazana na maandiko. Tuanze kufikiria kwenda mbele baadala ya kuhangaika na historia na mihemuko ya CDM na CCM tumewachoka sasa
Tunataka viwanda hayo ya madini mnajua siri zake zote tunachotaka ni maendeleo msituyumbishe. Tupeni ahadi mlizoahidi
 
Hapana hii ni kwa ajili ya viongozi walioko madarakani wanatuyumbisha badala ya kurekebisha matatizo haya kimyakimya na kuendelea kuweka sera za maendeleo
Waongo sana hawa!
 
Back
Top Bottom