CCM toka enzi za Nyerere haijawahi kuacha kuwashughulikia wabadhirifu ndani na nje ya CCM.
na alietuloga ameshakufa, sa sijui twende kwa nani akatuague, sijui Gwajimaaa!!!!!!!!"Sijui sisi nani ametuloga" ni kauli ya Mheshimiwa Rais juzi. Jee anazungumzia kina nani? anamaanisha wapitisha sheria na kuandaa mikataba hiyo yaani Serikali ya ccm, CCM yenyewe na yeye kama mmoja wao. Ni kweli nani kawaloga CCM? nani aliwaloga mawaziri (JPM inclusive)? nani aliwaloga wabunge wa NDIYO ambao ndio wengi?
Kama sasa hivi anatenda yale yaliyo sababisha Kina Zitto wafungiwe bungeni miezi kadhaa, Mnyika kutolewa na askari bungeni, Kina Lissu na wengine kuzomewa hadi kutukanwa na wabunge wa CCM, basi ni kuwa anakubaliana nao kuwa waliona wizi huo mapema lakini kwa sababu upande huu aliokuwepo muheshimiwa Rais wakati huo walikuwa "WAMELOGWA" basi hawakuona na yeye sasa hivi anashindwa kutamka wazi tuu kuwa CCM IMEHARIBU NCHI.
Sasa nani kawaloga? au ule Unga unga Chenge alioonekana akimwaga Bungeni usiku ndio ulozi wenyewe?
CCM iache kelele,inyamaze kimya maana tunakoelekea JPM atakuja sema wazi kuwa yenyewe ndio chanzo cha shida yote hii.
Je kwa mkristo kutubu ni dhambi?"Sijui sisi nani ametuloga" ni kauli ya Mheshimiwa Rais juzi. Jee anazungumzia kina nani? anamaanisha wapitisha sheria na kuandaa mikataba hiyo yaani Serikali ya ccm, CCM yenyewe na yeye kama mmoja wao. Ni kweli nani kawaloga CCM? nani aliwaloga mawaziri (JPM inclusive)? nani aliwaloga wabunge wa NDIYO ambao ndio wengi?
Kama sasa hivi anatenda yale yaliyo sababisha Kina Zitto wafungiwe bungeni miezi kadhaa, Mnyika kutolewa na askari bungeni, Kina Lissu na wengine kuzomewa hadi kutukanwa na wabunge wa CCM, basi ni kuwa anakubaliana nao kuwa waliona wizi huo mapema lakini kwa sababu upande huu aliokuwepo muheshimiwa Rais wakati huo walikuwa "WAMELOGWA" basi hawakuona na yeye sasa hivi anashindwa kutamka wazi tuu kuwa CCM IMEHARIBU NCHI.
Sasa nani kawaloga? au ule Unga unga Chenge alioonekana akimwaga Bungeni usiku ndio ulozi wenyewe?
CCM iache kelele,inyamaze kimya maana tunakoelekea JPM atakuja sema wazi kuwa yenyewe ndio chanzo cha shida yote hii.
Matumizi ya ruzuku ni kujenga ofisi kubwa? Jengo lao la Ufipa wameona linawatosha kwa kazi za kiofisi shida iko wapi?Bora tuliorogwa! kuliko ofisi ya ufipa ambayo haiendani na ruzuku, swali linakuja jee? Tungewapa dhamana si wangetuuza utumwani.
CCM walikosea na sasa wanatubu na wanajirekebisha. Kosa lipo wapi mbona kila kukicha wewe na marafiki zako akina Salary Slip et. al. mnakazana na maandiko. Tuanze kufikiria kwenda mbele baadala ya kuhangaika na historia na mihemuko ya CDM na CCM tumewachoka sasaSio dhambi, ila lazima ukiri kwa kinywa chako makosa yako.
Sio dhambi, ila lazima ukiri kwa kinywa chako makosa yako.
Ukitaka kutubu, kiri dhambi zako na kuomba msamaha siyo kuhamishia makosa yako kwa wengine. Kubali ulikosea na utubu.Je kwa mkristo kutubu ni dhambi?