Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 7,376
- 16,537
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM wameona mbali angendelea Bumbuli ingekuwa jehanamu,vumbi,jangwa na njaa .