Kiuhalisia hakuna kiu/dhana mapenzi

Hahahaha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸΎ sawa
Nataka nikukabidhi zana za siyo tu kuyafuta mapenzi bali kuyasahau kabisa...
Bila kuacha ushahidi wowote...
 
kwakweli wacha nitulie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
Utani tu , kuna siku ulinigombeza nimeamua nikuchangamshe tu 🀣
 
Utani tu , kuna siku ulinigombeza nimeamua nikuchangamshe tu 🀣
ile siku ndo nilkua nmetoka kupigwa kibuti aseeeeeee πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎsina hamuuu,, yaani hasira nje njeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ile siku ndo nilkua nmetoka kupigwa kibuti aseeeeeee πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎsina hamuuu,, yaani hasira nje njeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha pole sana , kwamba ukitoka kupigwa kibuti ndio unizingue na mimi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Avatar yako hiyo ndio huwa inaniacha nabubujikwa na mapenzi. Hivyo vimodo alafu black flani hivi ya kung'aaa na short hair cut hapo ninakosa kabisa utulivu wa nafsiπŸ˜€
 
Mwanamke ameumbwa kumsaidia mwanamme na ameumbwa kwa ajili ya kuzaa kuongezea.

Binaadamu wamefanya ngono ni starehe badala ya kwa ajili ya kuzaa.

Na wanawake wakastukia kwamba wanaume wanapenda ngono hivyo wanaitumia kimaslahi na hapo ndipo UTAPELI/UONGO ulipoingia.
 
Mod wanaoedit vichwa vya habari sasa hapo mmeedit KITU KWENDA KIU.Hivi mbona kama mnatukosea sana humu ndani.

Ifike mahali mtu akipandisha uzi ubaki katika uhalisia wake KIU ndo mdudu gani.

πŸ“ŒMaana ya mada nzima imevurugika.Hii censorship yenu inafanya huu mtandao usikue!!!
 
Avatar yako hiyo ndio huwa inaniacha nabubujikwa na mapenzi. Hivyo vimodo alafu black flani hivi ya kung'aaa na short hair cut hapo ninakosa kabisa utulivu wa nafsiπŸ˜€
Wee em sema kweliii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…