Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,115
- 3,811
Kataa ndoa wapo sahihi miaka dahari.Asubuhi ya leo nimeamka na tafakuri kuhusu dhana nzima ya mapenzi na mahusiano.
Katika tafakuri yangu nimeona ya kwamba neno mapenzi lipo kisiasa zaidi lakini hakuna binadamu anaweza kulitenda ipasavyo.
Mwenye kupenda ni Mungu maana Mungu atakupenda kwa utimilifu wako na kwa madhaifu yako bila kukuhukumu.
Mfano mzuri nimechukulia mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanaume na mwanamke.
Watu hawa wawili me na ke wakikutana kwa mara ya kwanza kila mtu atakuwa busy kufanya siasa zake za ulaghai ili kumuingiza kingi mwenzake.Hata hivyo wakati huohuo siasa za mapenzi zikiendelea kila mmoja wao atakuwa busy pia kusoma ni kwa jinsi gani atafaidika na huo muunganiko.
Tuelewane vizuri,make no mistake about it!!!Kila mwanadamu yupo kimslahi zaidi hivyo maslahi yanapokwisha au mtu anapata maslahi zaidi sehemu nyingine hatochelewa kuyavunja au kula kotekote.
Kwa msingi huo,waungwana wanakwambia"THE GAME IS BRUTAL BUT STILL FAIR"(kwa tafsiti ya kimatumbi, anasema mchezo ni wakikatili sana ila bado ni wa haki).
Mfano kijana wa kiume anayejielewa lazima ajue mahusiano haya ntajitoa kiasi gani na malipo yake ni haya.Aidha utalipwa mbususu na uicharaze kwelikweli au upate mwanamke smart asiyeomba hela ili wewe uweze kufanya mambo mengine na kukuza uchumi wako.
Nawasihi vijana wa kiume kukaa kimkakati,acheni kuhusiana na OMBAOMBA,WANAWAKE WASIO NA KAZI,WANAWAKE WANAOTOKEA FAMILIA MASIKINI,WANAWAKE WASIO NA ELIMU.Kundi hili litakufanya uchelewe sana kimaendeleo na kiuchumi.
Uzuri wa wanawake sahivi wapo wengi,,,,Soko limefurika ni wewe tu kijana wa kiume kuchangamkia fursa.Achana na bidhaa LOW QUALITY!!!!
Kwahiyo vijana wakiume ambao wengi bado ni wahanga wanaingia kwenye mahusiano bila hesabu nzuri badilikeni anzeni kuwa wahasibu na wachumi katika mahusiano yenu.Vijana wa kike ama wanawake wako mbele ya muda wao huwa wanajua hasa kwanini anaingia kwenye mahusiano na anakuwa na target au faida zake kisha ziorodhesha.
#USIKUBALI KULAGHAIWA NA SIASA ZA MAPENZI.STUKA WEKA MASLAHI YAKO MBELE.