juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Hili lako litakuwa kweli:Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara? Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?[emoji15]
Dah! Jf sio watu wazuri kabisa!!! Yaani wameonesha kabisa umecoment kwa simu ya Itel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili lako litakuwa kweli:
Iwapo kutakuwa na katiba mpya ya wananchi.
Iwapo kutakuwa na tume huru ya uchaguzi.
Iwapo vyombo vya usalama vitaacha vitisho kabla na wakati wa uchaguzi.
Iwapo CCM itashinda katika mazingira hayo.
Vinginevyo si vizuri kwa mtu mzima kujidanganya mwenyewe ilihali unaujua ukweli mchungu.
Sent from my itel_it1701 using JamiiForums mobile app
Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara? Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?[emoji15]
Haya ni matusi tunatukanana,Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara? Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?[emoji15]
Sasa hapo tatizo ni nini?Dah! Jf sio watu wazuri kabisa!!! Yaani wameonesha kabisa umecoment kwa simu ya Itel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akina Dr slaa walikuwa na damu nzito ndani ya chadema, wakaondoka sembuse wewe!Sema wewe uko ccm usitujumuishe wote me hapa nna dam ya CHADEMA
Dr Slaa aliondoka CHADEMA baada ya jaribio lake la kutoka kwenda kula mihogo Ikulu kukataliwa na wana UKAWA yeye na Propesa Lipumbavu wakaamua kuchukua pesa za CCM na kusepa.Akina Dr slaa walikuwa na damu nzito ndani ya chadema, wakaondoka sembuse wewe!
Unashangaza sana!Dah! Jf sio watu wazuri kabisa!!! Yaani wameonesha kabisa umecoment kwa simu ya Itel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hapo tatizo ni nini?
This is a problem of being a mother boy.
Kwani wewe ni wa kaskazini?Ukiniita mm ccm umenitukana tusi kubwa sana!! Tafadhar matusi ni kosa la jinai . Usirudie tena
Mkuu acha uzushi,balozi anakuwa ni ccm ,lazima,sijawahi kuona balozi wa chama pinzani[emoji15]Mimi niko CDM, walionizunguka CDM, Jiji langu linaongozwa na CDM, Mwenyekiti wangu wa Mtaa CDM, Diwani wangu CDM, Balozi CDM, Majirani CDM sasa nikijiita niko CCM si nitakuwa mnafiki mkuu juvenile davis !!!!!!!!!!!