Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,371 May 2, 2021 #1 Inapowekwa lock kwenye mlango hizo nati zake ziwe kwa ndani au nje ?Kama ni kwa ndani kwanini nyingi zinakuwa nje mwizi hawezi kuzifungua kwa spana ?
Inapowekwa lock kwenye mlango hizo nati zake ziwe kwa ndani au nje ?Kama ni kwa ndani kwanini nyingi zinakuwa nje mwizi hawezi kuzifungua kwa spana ?
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,569 Reaction score 17,991 May 2, 2021 #2 Hata ukifungua unachomoaje hapo..kumbuka na ndani pia inashika