Kiu jamani kiu

valeur tena? unataka nisahau njia ya kurudi home?

Osaka mie nataka amarula....

amarula tu.....niitii kiu yangu...

Badili Tabia, I 'm sorry dada! So, ebu nikutafutie 'Valeur, The Perfect Mix With You'.
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa bila kumsahau kipenzi changu Madame B atakuwepo pembeni

Heheheeeeeee unampigia debe ruta,
Sitakosa basi maana nimechoka Leo, nikiwa nanyi Nitaburudika.
 
Badilli tabia kweli badili tabia aiseeeee vinginevyo kiu itakuua.
 
Last edited by a moderator:
tunaenda wapi......niambie kabisa nivae kimandhari....mimi leo nina kiu ya Jameson mbaya kabisa.....tunaenda saa ngapi.......?

Preta nilifikiri usivae kabisa mtindo wa kisasa wa wanawake tehe tehe, umeaga lakini maana erick52 ni mtata.
 
Last edited by a moderator:
Jamani shemeji langu badili tabia pole kwa kiu. Hilo ndo tatizo la kuolewa wengi na mume mmoja. Nway washa bluetooth nikutumie lita moja ya amarula sasa hivi. Naomba uelewe kuwa not phone's bluetooth but yako. Nb. Make sure asprin yuko karibu. Enjoy
 
ina maana kiu hii inatokana na ukewenza?
Haiwezekani.......
Mbona nainjoi ndoa yangu na napenda wake wenzangu.....
La hasha...
Hii ni kiu tu kama kiu nyingine my shem....

Ila nasubiria mzinga wa amarula.......
 
tunaenda wapi......niambie kabisa nivae kimandhari....mimi leo nina kiu ya Jameson mbaya kabisa.....tunaenda saa ngapi.......?

Preta my dear, tusubiri rutashobolwa atutajie kiwanja...... Naona muda unaenda na yeye hatokei.......loh kiu itaniua....
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA! Tatizo la hiyo makitu ni kuwa unakunywa then unalegea na hapo ndio penye tatizo. Chochote kikilegea hutakiwa kukazwa ndio maana nilikwambia Asprin awepo. Umeelewa sasa shem langu la ukweli? UTALEGEA NA UTAHITAJI KUKAZWA.
 
Back
Top Bottom