Kiu jamani kiu

BADILI TABIA! Tatizo la hiyo makitu ni kuwa unakunywa then unalegea na hapo ndio penye tatizo. Chochote kikilegea hutakiwa kukazwa ndio maana nilikwambia Asprin awepo. Umeelewa sasa shem langu la ukweli? UTALEGEA NA UTAHITAJI KUKAZWA.

usihofu my shem.....
Nikilegea tu kaka yako Asprin ataniweka begani na kwenda...........
 
Last edited by a moderator:
hebu acha urongo

Warumi wamejaa Bar wapi??

Labda wachina ndio wamejaa tena wana geht's biashara zetu.

Ich lebe in Dar es salaam Kaizer Warum geht's du nicht gerne Rotwein?
 
Last edited by a moderator:
Bon voyage.
Bon appetiteless des kugr

ha ha ha, mie najikumbushia Ki espiranto

nilisoma enzi za middle school na sekendari.

Haahaahaaaaa samahani mkuu Kongosho. Lugha gongana hiyo nilikuwa najikumbushia kijerumani changu na Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom