"KITWANGA" Jina mbadala la "kupiga kilevi"

Rogart Ngaillo

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
908
1,911
Leo nimefuatilia mijadala kadhaa kuhusu kutenguliwa kwa huyu mtaalamu wangu wa IT...Nilichogundua kwa wachangiaji ama wanahabari ni kuhitimisha maongezi yao kwa kuoanisha jina la KITWANGA na tendo la kupiga mvinyo....
Nami nahitimisha kwa kuwahamasisha wana-jamvi "WEEKEND NDO HII, JONGEA KTK BAR ILIYO KARIBU YAKO,PIGA "KITWANGA" MPAKA KUCHEE! Hahahaaa, Magufuliiiii!
 
Back
Top Bottom